madawa ya kulevya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kiturilo

    Gari la Serikali lanaswa na madawa ya kulevya

    Gazeti la mwananchi limeripoti kuwa gari lenye namba za serikali limenaswa likiwa na kilo 430 za dawa za kulevya huku mmiliki wake akitokomea kusikojulikana na anaendelea kusakwa kila kona bila mafanikio. My take. Kwa kasi hii mateja na watu wanaotoa udenda barabarani wataanza kuonekana tena...
  2. Nyendo

    Inadaiwa Pauline Zongo amerudia kutumia madawa ya kulevya

    Pauline Zongo alipelekwa Sober house ili kwa ajili ya kuachana na madawa ya kulevya. Lakini Mange Kimambi aneandkika kuwa baada ya kutoka Sober amerudia tena na sasa hali yake ni tia maji tia maji.
  3. Red Giant

    Madawa ya kulevya hayana shida kihivyo, kilichopo ni vita tu ya kiuchumi

    Miaka ya 1800 kulitokea kitu kinaitwa opium war. Hii ilikuwa ni vita kati ya Waingereza na Wachina. Ni kwamba waingereza walikuwa wanauza sana hii opium kwa wachina na kuingiza pesa nyingi sana. Sasa Wachina wakaona watu wao wanakuwa mateja, wakapiga marufuku matumizi ya Opium. Waingereza...
  4. Mwamuzi wa Tanzania

    Kukithiri kwa mateja (Wala madawa ya kulevya) Serikali iwajibike maana ndio inayopelekea tatizo kuwa kubwa zaidi

    Habari! Twende kwenye hoja. Mateja au kuongezeka kasi ya matumizi ya madawa ya kulevya serikali ndio chanzo kikuu. Kwanini niseme serikali ndio chanzo kikuu cha tatizo hili? Serikali ndio inayokusanya kodi, hizo kodi ndizo hutumika kuwalipa watumishi wa idara ya polisi, TISS, Uhamihaji, Tume...
  5. Kalpana

    Ni kweli Diamond Platnumz anatumia unga/madawa ya kulevya?

    Leo katika pita pita zangu nimekutana na hii post ya Harmonize akiongelea mtu kutumia madawa ya kulevya na mtu huyu direct ni Dimond. Je kuna ukweli wowote au ni hasira za Harmonize kuambiwa anatumia mihadarati. Wadau je kuna ukweli wowote kukonda kwa Dimond ni kwa ajli ya ubwiaji?
  6. Replica

    Pauline Zongo arejea kwenye ubora baada ya kwenda Sober House

    Msanii Pauline Zongo maarufu kwa vibao kama nitakufaje na sister sister akitamba na kina GK, AY na MwanaFA wakiwa East Coast alikumbwa na kadhia ya madawa japokuwa nyakati hizo alikana na kusikitika kusemwa anatumia. Safari yake iliishia sober house na sasa ameimarika na kupendeza, sio Zongo...
  7. ESCORT 1

    TID: Makonda alinachafua sana kwenye ishu ya madawa ya kulevya

    Akihojiwa na Salama Jabir katika kipindi cha Salama na kinachorushwa Dstv, msanii wa bongofleva Khalid Mohamed maarufu TID amesema ishu ya kutajwa katika scandal ya matumizi ya madawa ya kulevya ilimchafua sana kwani alikaa ndani siku 5 na hatozisahau! TID anasema mpaka leo hajawahi kukaa sawa...
  8. L

    SoC01 Dawa za Kulevya zinavyorudisha nyuma maendeleo ya Taifa

    Rashid Abdallah Makwiro mmoja kati ya wasanii bora zaidi wa Hip Hop nchini. Watu wengi hawawezi kulijua jina hili, huyu anafahamika kwa jina maarufu sana la Chid Benz. Unamkumbuka Chid Benz katika ubora wake akiwa karibu na kipaza sauti? Alitisha sana, ukibisha unachotakiwa kufanya ni kutafuta...
  9. Mwanahabari Huru

    Rais Magufuli amteua Asha-Rose Migiro kuwa Balozi nchini Uingereza

    ASHA Rose Migiro, aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), muda wowote kuanzia sasa, atatangazwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza. Taarifa za ndani kutoka katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa zinaeleza kuwa, jina la Dk...
  10. S

    Polisi wafika nyumbani kwa Mbowe kwa upekuzi

    Mama na CCM wamebaki chama dola kwa asilimia 100.
  11. mirindimo

    Kwa hili la Obama Afrika inaweza kuwa sawa na kosa linalojumuisha Madawa ya Kulevya, Uhujumi Uchumi, Uhamiaji Haramu

    Obama alikuwa anatoa hotuba kuhusu Uhamiaji huko California 2013,vijana 2 wakaingilia hotuba yake na kuanza kupiga kelele kwa kukosoa.Watu wa usalama wakata kwenda kuwatoa lakini Obama akawazuia.Akawajibu kwa busara vijana hao na akawaalika kujadili naye zaidi.That’s Presidential
  12. Shujaa Mwendazake

    Tuhuma za Madawa ya Kulevya: Kamishna Jenerali wa DCEA akosoa utaratibu alioutumia Makonda

    Jana katika kipindi cha Dk 45 ITV walikuwa na Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya ambaye alipinga vikali utaratibu uliyokuwa unatumiwa na aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa DSM Ndug Paul Makonda wa kuwataja hadharani watu aliokuwa akiwatuhumu au wakidhaniwa kuhusika...
  13. Corticopontine

    Kwa tunaoona nje ya box, Ole Sabaya ni fagio la Wanaharakati uchwara mitandaoni na anguko la Mbowe

    Yaani hata darasani mwalimu hata ungefundishaji kuna wabafunzi vilaza ambao ukisema tisa wanasema sita yaani hawa huwa ni wanafunzi mbumbumbu wasiojielewa. Kuna kikundi kimeibuka kutunga uongo ambao ni vichaa tu wanaweza kuwaamini dhidi ya Sabaya. Yaani hawa watu wanashindwa kuelewa kabisa...
  14. pombe kali

    Biashara ya dawa za kulevya kurejea kwa kasi? Watanzania 2 wakamatwa na Cocaine kilo 2 tumboni Uwanja wa ndege wa Mumbai

    Kwa masikitiko makubwa naangalia jinsi wasafirishaji wa Madawa ya kulevya wameona kuwa huu ni muda muafaka kuanza biashara yao haramu. Baada ya lile tukio la kukamatwa kwa kiwango kikubwa zaidi ya tano moja kule lindi ambapo ukisoma muendelezo wake kwenye magazeti utaona hati ya mashtaka...
Back
Top Bottom