Jumla ya madawati 90 na viti vimetolewa kwa shule za sekondari na Wakala wa Uhifadhi Misitu Tanzania TFS wilayani Misenyi mkoani Kagera ili kuweza kuboresha upatikanaji wa Elimu kwa wanafunzi.
Akikabidhi madawati hayo Kamishina Kamanda wa TFS Kanda ya Ziwa Ebrantino Mgiye amesema kufanya hivyo...
Katika kusherehekea miaka 48 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga na Mjumbe wa Kamati Kuu, Rajabu Abdulrahaman, ametembelea katika Shule ya Sekondari Mgwashi iliyopo Korogwe Vijijini Kata ya Mngwashi na kutoa mchango wa shilingi milioni saba (7,000,000) kwa...
Naona bwana mkubwa Ulega anaendelea kujitengenezea mazingira ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025. Yani yupo tayari kusomesha wanafunzi.
Haya tunasubiri tuone itakuwa mwendelezo au ndiyo lambisha utamu wa asali tu kwa muda. Muda utaongea vizuri!
===================
Mbunge wa Mkuranga mkoani...
Chama Kikuu cha Ushirika cha Lindi Mwambao kimemkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Lindi Victoria Mwanziva madawati 150,viti mwendo 2 na mataili 4 kwaajili ya jeshi la Polisi, vyote vikiwa na thamani ya shilingi 19,700,000 ikiwa ni kutekeleza msingi wa saba wa Ushirika wa kuisaidia jamii.
Hafla ya...
Kuna Shule ya Msingi Irunda ipo Kata ya Ngoma Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza inakabiliwa na upungufu wa madawati ambapo karibu nusu ya Wanafunzi hulazimika kusoma wakiwa wameketi sakafuni.
Shule hiyo yenye Wanafunzi wapatao 900 ina madawati yasiyozidi 60, inapofika nyakati za Mitihani...
Habari
Kulingana na mahitaji ya furniture za mbao na chuma katika mazingira yetu ya kazi, ofisini, mashuleni, vyuonI, taasi mbali mbali na majumbani
Sisi kama wabobezi na watengenezaji wa haina mbali mbali ya viti na meza kwaajili ya wanafunzi
kwa bei zifuato
kiti na meza kwa sh 100,000
kiti...
Halmashauri ya Mji Kibaha imeendelea kutekeleza kwa Vitendo maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan kwenye Sekta ya Elimu baada ya kufanya hafla ya kugawa Madawati 2000,Viti na Meza 2000 zenye thamani ya Shilingi 410,000,000 zilizotokana na Mapato ya ndani...
Wagonjwa Hospitali ya Rufaa ya Songwe watapa msaada wa madogoro 60, Shule 40 na madawati 100 kwa Shule za Msingi Londoni na Sai.
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo, ameipongeza Benki ya NMB kwa kutenga sehemu ya faida wanayopata kurudi kusaidia jamii, ametoa pongezi hizo leo Oktoba 22...
Aziita sekta binafsi kushirikiana na serikali kutatua changamoto za wananchi
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani amepokea msaada wa vifaa tiba kwa...
This is misuse of public fund aisee. Hivi kabisa unakua uko sawa kiakili unatoa mil 50 unaipa timu wakati kuna watoto huko hawana vyoo? Nani anamshauri Rais ujinga huu? Hivi anafanya hivi akiwa amelenga impact yake nini? Yani nchi hii ambayo wamama wajawazito wanajifungulia chini hakuna vitanda...
Kwa muda miezi kadhaa sasa mfufulizo nimeona nyuzi nyingi sana zinazoonekana ni za vijana wadogo wakitaka kupata uzoefu mbalimbali kuhusu mapenzi, mahusian au ndoa, wakiulizia watu sahihi wa kuoana au malalamiko mbalimbali ya mahusaina, mapenzi na ndoa yanayoonekana ni kutoka kwa vijana wenye...
Makonda bado anaendelea na michezo yake michafu ya kufanya mauzauza kwa kuandaa matukio ambayo huwa anapachika "waigizaji".
Niwakumbushe tukio alilofanya akiwa RC wa DSM.
*Aliwakusanya masingo mama na kuwataka wawataje akina baba waliotelekeza watoto. Ktk mkusanyiko huu akajitokeza muigozaji...
MBUNGE CHEREHANI ATOA MADAWATI 975 YA MIL 63.3: MAADHIMISHO MIAKA 47 YA CCM
Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mhe Emmanuel Cherehani kupitia Ofisi ya mbunge ametoa madawati 975 yenye thamani ya Shilingi 63,375,000 ili kuimarisha sekta ya elimu ikiwa ni pamoja na kuhakikisha wanafunzi wanakuwa na...
Hii hali ndio inafanya watu wachukie kazi ya ualimu na wengine waione ni kazi ya utumwa na inayo dharauliwa kabisa!
Hivi inakuwaje Mwalimu anaporwa kiti au dawati la kukali kisha anakwenda kupewa mwanafunzi?
Haki za walimu ziko wapi kwanini mnawadhalilisha na kutweza utu wao namna hii...
Najua kanda ya kaskazini hasa Kilimanjaro suala la wanafunzi kukaa chini madarasani waliachana nalo takribani miaka 40 iliyopita
Kama unafaham Shule ya msingi yenye hiyo changamoto ya wanafunzi kukaa chini, taja jina la shule, Kijiji, Kata, Wilaya na Mkoa iliyopo pengine inaweza kusaidika
Jana Jumatatu Septemba 25, 2023 Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, Dkt. Florence George Samizi ameambatana na Mkuu wa Wilaya ya Kibondo, Col. Aggrey Magwaza pamoja Mkurugenzi wa Benki ya NMB Kanda ya Magharibi Seka Urio katika mapokezi ya madawati 50 yenye thamani ya milioni tano kutoka...
Kaimu Mkurugenzi wa halmashauri ya jiji la Arusha, Hargney Chitukuro amesema kuwa mwaka huu hakuna mwanafunzi aliyekosa kuingia darasani kwa kukosa chumba cha darasa au dawati. Amesema wamefanikiwa kuepukana na adha hiyo kutokana na uamuzi wa serikali kutoa zaidi ya Sh. bilioni mbili kwa ajili...
Mkuu wa Wilaya ya Rorya, Juma Chikoka ameshiriki kukabidhi madawati 50 kati ya Madawati 250 ambayo yametolewa na Bank ya NMB kwa shule 5 zilizopo wilayani hupo kwa lengo la kusaidia kupunguza changamoto ya watoto kukaa chini na kuboresha ufaulu wao.
Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo, DC...
Natamani Waziri Mkuu atangaze kila wilaya/Mkoa umalize hii kero ya upungufu wa madawati; Watoto wanateseka jamani.....
Wiki iliyopita nikiwa Kisaki/Kilosa, nilipita shule inaitwa Kichangani shule ya msingi, yenye wanafunzi takribani 850 huku ikiwa na madawati kama 40hivi tu pengine niseme ya...
MBUNGE IGALULA, MHE. VENANT DAUD AENDELEA NA ZIARA JIMBONI, ACHANGIA MADAWATI 300
Mbunge wa Jimbo la Igalula Mkoa wa Tabora Mhe. Venant Protas Daud amefanya ziara ya siku tano kuanzia tarehe 27 Februari 2023 mpaka tarehe 03 Machi 2023 katika Kata Nne zilizomo Igalula ambazo ni Kata ya KIGWA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.