MHE. ESTHER MALLEKO MADAWATI 40 YA MILIONI 1.6 SHULE YA WASICHANA SEKONDARI YA ASHIRA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Malleko amechangia Madawati 40 Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Ashira yenye thamani ya Milioni 1.6, tukio hilo limefanyika mnamo tarehe 14 Februari...
Mwalimu aliyesambaza picha hizi kufukuzwa
JUMATANO , 8TH FEB , 2023
NA MWANDISHI WETU
Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya, Wakili Triphonia Kisiga, amesema Mwalimu wa kujitolea katika shule ya sekondari Sinde, Evarist Chonya, aliyesambaza picha za uongo za wanafunzi wakiwa wamekaa chini...
Ni jambo la kusikitisha kuona hadi sasa idadi kubwa ya wanafunzi wa shule ya msingi na hata sekondari wakiwa wanakaa chini katika shule zetu si mjini wala vijijini.
Japo tunapongeza jitihada za kuongeza madarasa bado inashangaza Sana kuona hao wataalam wa mipango wanashindwa kuona ukakasi wa...
Wanafunzi wanaosoma shule ya Msingi Ungalimited Jiji la Arusha wamelazimika kukaa chini kutokana na uhaba wa madawati huku uongozi ukidai ni kutokana na ukarabati wa vyumba vya madarasa unaoendelea katika shule hiyo kongwe.
Hata hivyo Ofisa Elimu Msingi Jiji la Arusha,Hosseni Madengale amesema...
Nimeshangazwa na mchango wa madawati Uhamiaji Sekondari kwa wanafunzi wanaojiunga kidato cha kwanza, kwani nilitegemea shule zote za Dar zilishapewa madawati ya kutosha. Hebu mwenye undani wa jambo hili atujuze.
Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam, Kamishna Mwandamizi wa Polisi, Lazaro Mambosasa amewataka Askari Polisi wanaohudumia madawati ya Usalama Kwanza kutumia mafunzo waliyoyapata kuleta tija ndani ya Jeshi la Polisi.
Alisema hayo alipokutana na askari hao katika mwendelezo wa...
Viongozi na wananchi wa Kijiji cha Murufiti, Nyansha na Kigondo wakiwa kwenye makundi wakijadili mkakati wa kukabili ukatili na unyanyasaji wa kijinsia kwenye jamii za vijiji vyao katika kongamano lililoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP).
Baadhi ya wanaume walioshiriki mjadala wa...
Hivi inaleta picha gani hasa kwa wadau wetu wa maendeleo?
Mnapewa misaada kibao kuboresha elimu lkn bado tu watoto wetu hapa sumbawanga wanakosa madawati ya kukalia madarasani?
Wanafunzi 65,000 mkoani Sumbawanga wanakaa chini.
CCM tunaomba mjitafakari vinginevyo mtuwachie nchi yetu...
Shule ya msingi chicheho, iliyopo kata ya sanza wilaya manyoni ina upungufu mkubwa wa madawati (nusu ya shule nzima wanafunzi wanakaa chini ) hali ni mbaya sana.
Nimejaribu kufuatilia kinachoendelea mpaka nikashangaa watanzania walivyo mbumbumbu, nilivyomsikia ndugai sidhani kama alimaanisha watanzania tusikope kabisa bali ametizama matumizi ya mkopo wa trilioni 1.3 tuliokopa ili tujenge madarasa n.k akatazama kwenye bajeti yetu tulisema tunaweka tozo za...
Nimeona kwenye taarifa ya habari ya ITV Leo tarehe 30.11.2021 sh. Mil. 20 zimetengwa kwa ajili ya kuninulia vifaa vya Michezo ya wabunge ili Hali shule nyingi asa za msingi watoto hawana madawati wanakaa chini. Huo ndo uzalendo wa viongozi wetu au wanafanya hivyo kisa watoto wao hawasomi...
Ukatili dhidi ya Mtoto wa kike huwakatisha tamaa maelfu ya mabinti kuzifikia ndoto zao. Eneo la vyuo vikuu ni sehemu hatari zaidi ambako bado hakujatiliwa mkazo unaostahiri.
Serikali ipeleke dawati la jinsia kwa vyuo vyote ili kumsaidia Mtoto wa kike, kwa hali ya sasa anayehusika na kesi zote...
Ipo barua inasambaa mitandaoni kutoka kwa oCD Meatu ikiziia mikusanyiko ya wanachama wa Chadema Kwa sababu kwamba kipimdi hiki Kuna tishio la Ugaidi.
Yawezekana sababu hii ni ya msingi au isiwe na msingi. Lakini barua hii ambayo naamini itasambaa Dunia ina madhara makubwa KULIKO faida kwa...
Zaidi ya wanafunzi 2000 Ilemela Mwanza wanakaa chini
Zaidi ya wanafunzi 2000 wa shule za msingi katika wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, wanakaa chini kutokana na shule hizo kukabiliwa na ukosefu wa madawati.
Wanafunzi 600 ni kutoka shule mbili za Kayenze na Chasubi ambao wanakaa chini kutokana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.