madeni

Del Morad (Persian: دلمراد(مادني)‎, also Romanized as Del Morād; also known as Mādenī) is a village in Kahnuk Rural District, Irandegan District, Khash County, Sistan and Baluchestan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 19, in 4 families.

View More On Wikipedia.org
  1. Saad30

    Pombe ni Ndugu wa madeni

    Salamu wakuu. Kwanza namshukuru Mungu mmoja kwa imani yangu kunijalia afya na pia kunifanya niwe mbali na pombe yaani kunywa pombe. Kimaisha nashukuru hapa nilipofika lakini bado safari ni ndefu japo kuwa umri wangu bado kijana sana. Mimi nilikuwa mnywaji wa pombe mzuri sana nilianza na...
  2. K

    Kama mwananchi wa kawaida naiomba Serikali inieleze kiasi cha madeni nchi inayodaiwa

    Kama mwananchi wa kawaida ninatakiwa kujua madeni yote tunayodaiwa kama nchi. Tangu awamu ya Sita iingie madarakani haipiti hata mwezi mmoja utasikia nchi ya Tanzania imekopa matrillioni kadhaa Hii tabia hatukuiona Awamu ya Tano na miradi ilikuwa inajengwa kama kawaida. Leo sikuamini macho...
  3. L

    Je, China imeiwekea Kenya mtego wa madeni?

    Wakati uchaguzi mkuu wa Kenya unakaribia, baadhi ya vyombo vya habari vya Magharibi vinadai kuwa, China imeiwekea Kenya “mtego wa madeni”. Nyuma ya madai hayo, madhumuni halisi ya baadhi ya nchi za Magharibi ni kuchafua ushirikiano wa kunufaishana kati ya China na Kenya, na pia kujaribu...
  4. MK254

    Kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 100 Urusi imeshindwa kulipa madeni

    Anguko la Urusi liko pale, hali inaendelea kuwa ngumu ikizingatiwa mpaka sana imeshindwa kufunika kainchi kadogo hapo jirani yake na imeingia hasara kubwa sana ambayo jeshi lolote hapa Afrika likiingia hasara kama hiyo linafutika kabisa. ======================== Russia was set to fall into its...
  5. L

    Nchi za Magharibi zinachochea dai la “mtego wa madeni” huku kihalisia fedha zikifika nchi hizo kutoka Afrika

    “Madeni mengi yanayozikabili nchi za Afrika yanasababishwa na mashirika binafsi ya nchi za Magharibi, na hawa wakopeshaji kutoka New York, London, Frankfurt n.k wanataka madeni hayo yalipwe ili mali za nchi za Afrika ziendelee kumiminika Amerika Kaskazini na Ulaya, na wala sio China.” Hivi...
  6. K

    Nchi ya Poland yajitwika mzigo wa madeni ili kujiimarisha kijeshi

    Kwa kile kinachoonekana kama kupaniki,kujishtukia & kupatwa na uoga nchi maskini ya Ulaya,Poland imeamua kufanya maamuzi ya ajabu ya kutumia mbinu zozote zile ikiwemo kukopa hovyo ili kuliimarisha jeshi lake na kujiweka tayari kwa uvamizi wa super power Russia Kwa sasa nchi ya Poland imeamua...
  7. E

    Ushauri kuhusu biashara ya grocery

    Habarini za wakati huu wana JF Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu nina miaka takriban mitatu mtaani sjabahatika kupata ajira so nikawa najichanga changa kwenye mambo yangu nikapata kama 2.2 M nikafungua kigrocery mtaani sasa kinachonisibu asee yan nakopwa so mchezo hadi msingi umepungua sana. Of...
  8. A

    Marekani yafunga njia zote zilizokuwa zinatumiwa na Russia kwa kulipa madeni yake

    Baada ya Urusi kufungiwa njia zote ilizokuwa inatumia kulipa madeni yake na Marekani, wawekezaji watazidi kuikimbia Urusi. Urusi kwa sasa ni kama kisiwa, imetengwa na Mataifa yote yenye uchumi mkubwa duniani, hata China yupo naye kinafiki tu. Je, Moscow kujibu mapigo? ____________________...
  9. OffOnline

    Shaka Hamdu Shaka: Tunahakiki deni la Bilioni 1 wanalodaiwa Uhuru Media kama lina ukweli wowote

  10. Dr Akili

    Tuziombe nchi rafiki na taasisi za fedha hususani World Bank na African Development Bank waahirishe au kutusamehe baadhi ya madeni wanayotudai

    Rais wetu anakubalika sana kimataifa na ameweza kutufungua kimataifa. Ni rais pekee, executive president, mwanamke barani Afrika na wengi wako tayari kumsaidia ili kuonesha ulimwengu hasa wa Afrika kwamba wanawake wanaweza, tena sana tu kuliko wanaume wengi. Wengi wanapenda kuona rais wetu...
  11. 666 chata

    Hakuna kitu kibaya hapa duniani kama madeni

    1. Wakati flani nikifanya shughuli za kisheria ktk taasisi flani niliwai kukutana na mzee mmoja ambae kwa wakati huo alikua ana lala stendi ya mabus ubungo terminal, baada ya kutolewa kwenye nyumba yake kinguvu na watu wa bank kisa alishindwa kurejesha marejesho yake kwa wakati ambapo mpaka...
  12. Kamanda Asiyechoka

    CCM inadaiwa mabilioni ya shilingi na hailipi madeni

    Hii sasa ndio CCM ya mafisadi na matapeli. Raia mwema yazidi kuibua maovu.
  13. Lady Whistledown

    Taasis ya Kimataifa ya Fedha (IMF): Mfumuko wa bei unaweka nchi maskini katika hatari ya kushindwa kulipa madeni

    Taasisi ya Fedha ya Kimataifa inasema mbinu bora zaidi zinahitajika ili kukabiliana na dhiki kuu ya deni. IMF imeonya kuwa bei ya juu ya chakula na nishati duniani kutokana na vita vya Ukraine inaathiri zaidi nchi masikini Bei ya juu sana ya chakula na nishati duniani kutokana na vita nchini...
  14. LICHADI

    Msipokeshe pesa watu ovyo, wamekuwa wagumu sana kulipa madeni

    Kwenye jamii zetu kuna wale watu ambao kila siku wao ni kukopa tu yaani akikulipa leo anakutarget week or siku kadhaa anakukopa tena yani ni kama pesa yako ushammilikisha yeye so inakaa kwako kwa muda mfupi tu yeye ndio anatamba nayo na watu kama hawa mwisho wa siku huwa ni matapeli siku...
  15. Ndokeji

    Bima ya NHIF inasababisha Hospitali kushindwa kujiendesha kwa kutolipa madeni. Rais Samia angazia macho huko

    Hospital kubwa kama Muhimbili, Bugando, KCMC, MBEYA, DODOMA Ziko katika Hali mbaya Kwa kutoa Huduma na kushindwa kuwalipa wazabuni Kwa mda wanaoleta vifaa Tiba mahospitalini. Hali hii inapelekea Hospital KUJIENDESHA Kwa mapato ya ndani, Mfuko wa BIMA NHIF umeshindwa kulipa hizi Hospitali...
  16. C

    “Nimezunguka huko nimepata VIJIPESA kidogo", hii ni kejeli kwa Watanzania watakaolipa haya madeni

    Asarareeeeeeee, Unajua wakishakalia madaraka hujawa na dharau na viburi visivyo na msingi wowote hii ndio hulka ya binadamu alieshiba huwa hakumbuki kama jana alipata shida. Kwanza huko nje hakuna pesa ya Bure wanayopewa zote ni zina mashart au riba kubwa au riba ndogo au riba ya muda mfupi au...
  17. Kasomi

    Fahamu aina kuu mbili za Madeni

    AINA KUU 2 ZA MADENI. Tokomeza madeni. Kuna aina kuu mbili za madeni. Aina ya kwanza ni madeni mazuri na aina ya pili ni madeni mabaya. Soma kwa makini ili kujua unaangukia kwenye aina gani ya madeni. Madeni mazuri ni yale ambayo marejesho yake hayatokani na chanzo kingine cha mapato bali...
  18. Masokotz

    Fahamu kuhusu Biashara ya kununua madeni

    Habari za wakati huu, Mwaka 2003 nilibahatika kuhudhuria mnada wa mtu aliyeshindwa kulipa DENI. Mnada huu ulifanyika huku familia ikiwa ndani ya nyumba kwa mkopo ambao BABA alichukua kwa ajili ya biashara na akashindwa kulipa. Kwanza tukio lile lilinishangaza sana kwani lilikuwa la...
  19. John Haramba

    Utawala wa kijeshi wa Mali washindwa kulipa madeni yake

    Utawala wa kijeshi wa Mali unaobanwa na vikwazo vya uchumi umeshindwa kulipa madeni yake katika soko la fedha la ukanda wa Afrika Magharibi. Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa maafisa wa fedha wa Afrika Magharibi. Tangu mwezi wa Januari, wakala unaoshughulikia madeni wa ukanda huo, Umoa-Titres...
  20. L

    Msaada wa China kwa nchi za Afrika: Je ni mzigo wa madeni?

    Caroline Nassoro Vyombo vingi vya habari vya nchi za Magharibi pamoja na baadhi ya wanasiasa katika nchi hizo wanadai kuwa, China inaibebesha Afrika mzigo wa madeni, na kwamba inaendeleza ukoloni mamboleo kwa nchi hizo. Tukiangalia kwa undani, uhusiano wa China na nchi za Afrika ni wa...
Back
Top Bottom