Wakati uchaguzi mkuu wa Kenya unakaribia, baadhi ya vyombo vya habari vya Magharibi vinadai kuwa, China imeiwekea Kenya “mtego wa madeni”.
Nyuma ya madai hayo, madhumuni halisi ya baadhi ya nchi za Magharibi ni kuchafua ushirikiano wa kunufaishana kati ya China na Kenya, na pia kujaribu...