Nimetekewa kidogo, na nimetindikiwa na amani kwa sehemu, lakini nimepata msukumo wa kulileta hili suala hapa kwa uchambuzi zaidi. Nitaweka mada yangu katika maswali ili katika kuyajibu, tupate muafaka wa kitaalam juu ya azimio la kukopa ili kulipa mikopo. Kama wewe si mtaalam, au hujui, au huna...