madereva

  1. Kingsmann

    Kusoma VETA hakutakusaidia lolote kwenye nchi hii, tatizo ni mifumo wezeshi mibovu. Angalia madereva wa mabasi yanayowakuta kwa ground.

    Nenda kasome tu for your own benefits and risks. Ila kwa ground mambo ni tofauti sana. Kasomee ufundi unaotaka wewe, ila the moment umefungua ka kibanda kako tu, hujaanza kuingiza hata senti 5, TRA hawa hapa. Hata wale walioajiriwa, siku wakikuonesha salary slip zao, utawaonea huruma. Usione...
  2. T

    Viongozi wa umoja wa madereva wa Mabasi Tanzania (UWAMATA) watoa kero zao, waomba mazingira rafiki ya kazi

    Viongozi wa Umoja wa Madereva wa Mabasi Tanzania (UWAMATA) Waomba Mazingira Rafiki ya Kazi Viongozi wa Umoja wa Madereva wa Mabasi Tanzania (UWAMATA) wameiomba Serikali kuwawekea mazingira rafiki ya kufanya kazi zao ili kudumisha amani na kuchangia ukuaji wa uchumi wa taifa kupitia sekta ya...
  3. Waufukweni

    Madereva zaidi ya 40,000 wafungiwa na Bolt, wapo wa makosa ya uhalifu

    Kampuni ya taski mtandao Bolt imeweka bayana madereva zaidi ya elfu arobaoni (40,000)wamefungiwa akaunti zao kutokana na makosa mbalimbali yakiwemo makosa ya uhalifu. Hayo yamebainishwa na Dimmy Kanyankole Meneja wa Bolt Tanzania wakati akibainisha jinsi kampuni hiyo ilivyowekeza pesa nyingi...
  4. The Watchman

    Pre GE2025 Madereva daladala jiji la mbeya wamtaka Dkt. Tulia kugombea tena ubunge 2025

    Wakuu Umoja wa Madereva na Makondakta wa Daladala Mbeya Jiji (UDEKO) umetoa wito kwa Mbunge wa Mbeya Mjini na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, kugombea tena Ubunge katika jimbo hilo kutokana na kazi nzuri aliyoifanya katika kipindi chake cha uongozi...
  5. P

    Tunaomba mamlaka na wamiliki waingilie kati kukemea na kuongea na madereva wao wa mabasi kwa vitendo hivi vya kuhatarisha maisha ya watu

    Kwenye hiyo video hapo, huyo dereva wa bus alikua na haraka gani ya ku overtake sehemu kama hiyo na anaona kuna mtu anakuja mbele yake. Na bado unampiga taa kali usoni. Hawa madereva hawana familia nini?
  6. P

    Kwanini Madereva wa Mabasi huwa wana haraka hata kama sehemu haiwaruhusu kupita wanalazimisha?

    Tabia ya madereva wengi wa mabasi Tanzania kuvunja sheria au kuwa na haraka kuliko watumiaji wengine wa barabara ni chanzo cha ajali nyingi. Ifikie wakati wamiliki wasifumbie macho tabia hii. Serikali pia iwawajibishe wasiangalie makosa ya vibao vya 50 tu au kuzidisha abiria kuna tabia nyingi...
  7. mrackkiramadhani

    Madereva wanaitajika

    Kiongozi naweza pata dereva mwenye uwezo wa kunendesha gar ndogo na ajue pikipiki vizuri (kazi ni messenger/derivery) mashaara 300k-400k Watume cv WhatsApp 0622943394 . Deadline tar 14 saa 8am
  8. Roving Journalist

    Jerry Silaa: Mfumo wa Kielektroniki wa Anwani za Makazi (NaPA) utasaidia kuboresha huduma za usafiri na usalama wa abiria na madereva

    Mfumo wa kielektroniki wa Anwani za makazi (NaPA) ambao una programu tumizi yaani ‘Application’ utasaidia kuboresha huduma za usafiri na usalama wa abiria na madereva ambapo kwa kutumia simu janja madereva wanaweza kupakua application hiyo itakayowarahisishia kumfikia mteja kwa haraka kwa kuwa...
  9. Mad Max

    Hizi Cruisers Mpya J300 na Prado J50 hakuna Manual Transmission. Sahivi na sisi Madereva wa Serikali tunaenjoy utamu wa Auto!

    Hatimae tumefikiwa. J250 Prado na J300 Cruisers zimekuja kazini na hakuna Auto, kuuliza wanasema hakuna model yenye manual transmission. J300 zimekuja za diesel zenye gear 10 zile za cc 3300 twin turbo V6. Prado zimekuja za 2.8L gear 8 diesel. Sasa mkono na mguu wa kushoto wacha vipumzike.
  10. M

    Zanzibar: Barabara iliyopo Kwerekwe Makaburini inakuwa hatarishi kwa kuwa Madereva wengi hawazingatii Zebra

    Huku kwetu mitaa ya Kwerekwe Makaburini kuna mistari ambayo inatumika kuruhusu Watu kuvuka Barabarani maarufu kwa jina la Zebra. Hapo nazungumzia barabara ya kubwa ya kwenda Fuoni, lakini cha ajabu madereva wengi hawasimamii Sheria za barabarani ikiwemo kutozingatia matumzi ya Zebra hizo...
  11. nzalendo

    Matukio ya ajabu kwa madereva wa malori

    Takribani miaka 40 iliyopita...alipata kutokea tajiri mmoja aliyekuwa anamiliki malori. Kama kawaida madereva tupo wa kila namna chini ya jua....sasa kuna mzee mmoja alikuwa anaogopewa na kila dereva na si madereva tu mpaka mafundi,yaani kama gari yake ina shida mafundi wanastop kutengeneza...
  12. Keagan Paul

    Madereva 20 wanahitajika

    Habari zenu Madereva 20 Wanahitajika Ni Kiwanda cha Mafuta ya Alizeti Mahali pa Kazi: Dar es Salaam /Dodoma. Wanahitajika wenye uzoefu wa kuendesha Magari makubwa Mwenye Kujua kuzungumza Kingereza vizuri atapewa kipaumbele. Ambatanisha Picha yako ndogo ya Passport na CV yako: hrfbde@gmail.com...
  13. Kaunara

    Sumatra: Makondakta na Madereva daladala Mbeya wanatoa lugha mbaya kwa abiria

    Kama kichwa cha habari kilivyo! Makondakta na Madereva wa dala dala Mbeya wanatoa lugha mbaya sana kwa abiria. Sumatra waelimisheni abiria haki zao ndani ya dala dala acheni kushinda ofisini watu wanateseka barabarani. Wekeni hata sticker zenye namba zenu na haki ambazo abiria akivunjiwa...
  14. Pyaar

    Ajira za madereva na Utingo

    Changamkieni fursa hiyo.
  15. Waufukweni

    Madereva wa Malori Watanzania waliokwama Kongo waomba msaada baada ya Waasi wa M23 kuteka Goma

    Madereva wa malori kutoka Tanzania waliokwama nchini Kongo (DRC) wameomba msaada wa haraka baada ya waasi wa kikundi cha M23, kinachodaiwa kuungwa mkono na Rwanda, kuteka mji wa Goma. Soma, Pia: Waasi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanasema wamechukua mji muhimu wa Goma
  16. ESCORT 1

    Uliwahi kusikia nini kuhusu madereva wa malori?

    Karibu utiririke…
  17. Trubarg

    Madereva wa SGR wana leseni ya aina moja?

    Wakati mwingine ukipanda husikii chochote na wakati mwingine ukipanda Gia na breki zote unazisikia, yaani mishituko ya hapa na pale.
  18. Mkalukungone mwamba

    Dar: Polisi yawafungia leseni madereva 30 kati ya 179 waliokamatwa katika kipindi cha sikukuu

    Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewafungia leseni madereva 30 kati ya 179 waliokamatwa katika kipindi cha sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya 2025. Madereva hao 30 walikamatwa katika operesheni maalumu na walipopimwa walikutwa na ulevi kwa kiwago cha zaidi ya miligramu 80. Soma...
  19. Mkalukungone mwamba

    Madereva 15 wafungiwa leseni za udereva Tanga

    Katika kudhibiti ajali za barabara Jeshi la polisi mkoa wa Tanga limewafungia leseni za udereva madereva 15 Kwa makosa mbalimbali ya usalama barabarani. Hayo yamesemwa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Tanga Almachius Mchunguzi wakati akiongea na waandishi wa habari ambapo alisema kuwa jumla ya...
  20. Stephano Mgendanyi

    Samia Mtaani Kwetu Kuwajengea Uwezo Madereva Bajaji Ili Wazitumie Fursa Zinazowahusu

    Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji UVCCM Taifa, Komredi Debora Joseph Tluway Tarehe 28/12/2024 alikutana na madereva bajaji walioko Wilaya ya Mpanda ili kutekeleza dhima ya Program ya "SAMIA MTAANI KWETU" yenye lengo la kukutana na makundi yote ndani ya jamii yetu kwaajili ya kujenga Umoja...
Back
Top Bottom