Takribani miaka 40 iliyopita...alipata kutokea tajiri mmoja aliyekuwa anamiliki malori.
Kama kawaida madereva tupo wa kila namna chini ya jua....sasa kuna mzee mmoja alikuwa anaogopewa na kila dereva na si madereva tu mpaka mafundi,yaani kama gari yake ina shida mafundi wanastop kutengeneza...