Tanzania na hasa Dar es Salaam, kuna uchafu wa kutisha ambao hautajiki kabisa sijajua kwa nini, ni mazoea au hauonekani, sio rahisi kusikia utajwe na watu serikalini, binafsi, mashirika, wala viongozi wa umma.
Nakumbuka usafi wa Jumamosi ulivyozingatiwa lakini huu wa makondakta na daladala zao...