Si jambo la kustaajabisha kumkuta mtu yupo kwenye mfululizo wa kutokula muda mrefu kwa kile wengine wanakieleza wapo kwenye ‘diet’ ya kupunguza mwili.
Mfumo huu wa maisha unaendelea kushamiri kwenye maeneo mbalimbali, wengi wakitafuta kurudia maumbile yao ya awali, wakisahau kushinda na njaa...