madhara

Abu Ali al-Husayn ibn Ahmad al-Madhara'i, also known as Abu Zunbur ("the hornets' man"), was a member of the bureaucratic al-Madhara'i dynasty of fiscal officials, and served as director of finances of Egypt and Syria for the Abbasid Caliphate in the first decades of the 10th century.

View More On Wikipedia.org
  1. Exorcist

    Je, ni madhara gani yatatokea endapo parking fees itaunganishwa kwenye mafuta?

    Kwanza mafuta yenyewe tayari yameshakuwa too expensive, sioni shida huu usumbufu wa parking nao tukaepukana nao, tulipe hiyo parking fees huko huko kwenye mafuta tujue moja. Hizo pesa za kuwalipa watu kuzunguka na vimashine nchi nzima kwenye jua kali ni bora wakafanya Sensa tu. Wenye magari...
  2. F

    Madhara ya kumuondoa Profesa Ndalichako Wizara ya Elimu yaanza kung'ata

    Elimu ni mojawapo ya wizara zilizoleta taharuki ya kuondolewa mawaziri wao kufuatia ladha za utendaji wao zilivyokuwa tamu kwa taifa (wananchi). Wizara zingine ni Ardhi na Sheria & Katiba. Malalamiko ya ardhi yaliyokuwa yamepunguzwa sana na Mhe. Lukuvi sasa yameanza kurudi kwa kasi. Prof...
  3. GENTAMYCINE

    Haya ndiyo Madhara ya Kuiga kila Kitu tu kwa Wazungu, wakati siyo Utamaduni wetu Sisi Waafrika ( Watanzania )

    Happines Mdoshi (15), mwanafunzi wa kidato cha pili shule ya sekondari Nyanza, Halmashauri ya Mji Geita, ameshindwa kufanya mitihani ya Pre- Mock, baada ya kumwagiwa maji ya moto eneo la mgogoni na makalioni na mtoto mwenzie kwenye sherehe ya siku yake ya kuzaliwa. Chanzo: EastAfrikaRadio...
  4. comte

    TRA madhara yenu kwa biashara ya utalii yatachukuwa mda mrefu kurekebishwa na huenda yasirekebishike kabisa

    TRA Arusha mnakumbuka kesi hii Mfanyabiashara wa usafirishaji na ukawala wa watalii alilipwa malipo ya mbele na watalii. Kabla ya watalii kufika likaja janga la Corona. Watalii wakafuta safari . Mfanyabiashara kwa uungwana akawarudishia wateja wake pesa zao zote ukiondoa gharama za banki. TRA...
  5. Naanto Mushi

    Madhara ya kupanda bei kiholela kwenye uchumi na namna mfumo wa kiutawala wa Tanzania unavochangia uwepo wa hili tatizo

    Wasalaam Wanazengo, Kwenye uchumi kuna concept huwa tunaiita kwa kiingereza ‘Demand destruction’ ambapo hii huwa hutokea pale ambapo mlaji au consumer anapungukiwa nguvu ya kuweza kufanya manunuzi ya biadhaa au huduma zinazotengenezwa kwenye uchumi kwa sababu aidha, bei za bidhaa hizo ni kubwa...
  6. Sky Eclat

    Wasomi wafanye utafiti wa madhara ya kutopandishwa mishahara kwa wafanyakazi, lobbyist wanaweza kutusaidia

    Ili mfanya kazi afanye kazi inayoleta matunda anahitaji kula vizuri, kuwa na afya njema, alale vizuri na pia afya yake ya akili iwe njema. Kwa wengi laki tatu mshahara wa kima echo chini tunafahamu una changamoto hasa kuishi mijini ambako unalipia kodi ya nyumba, unahitaji usafiri wa...
  7. sky soldier

    Ushirikina walioufanya Simba ugenini ni kutuchafua watanzania, Vitendo vyao vina madhara makubwa sana juu ya fikra za wageni kwa watanzania kiujumla

    Ni wakati sasa kwa TFF kutoa adhabu kali kwa hawa washirikina. Jambo hili halikubaliki hata kidogo. Yaani tunaonekana Watanzania ni watu wa juju! Jambo ambalo siyo sahihi hata kidogo. Unafanyaje ushirikina mbele ya makamera yote yale ukiwa nchi ya ugenini ? Hiki kilichofanyik ni kinyume...
  8. GENTAMYCINE

    Tafadhali hiki 'Kirusi' naomba kidhibitiwe upesi kwani '(ikizoeleka' huko mbeleni kitakuja kuwa na Madhara makubwa na Kitatugharimu

    Hujawa Rais ili uje Uwainue Wanawake Wenzako kwa Gharama za ama Kuwadharau au Kuwadidimiza au Kuwakomoa Wanaume bali umekuwa Rais wa Watanzania Wote tu Waume kwa Wake ( Jinsia Mbili zenye Kutengeneza Muunganiko wa Kimaendeleo ) kwa Ustawi wa Mama Tanzania na Kizazi chake. Nanyi Viongozi wa Kike...
  9. R

    Madhara ya kutumia dawa za kuongeza vichocheo mwilini

    Habari wanandugu, poleni na majukumu ya kila siku, wala siwapi faraja sababu najua tutapumzika kaburini[emoji28] Kuna jambo limekua kama katabia siku hizi, watu wanakunywa virutubisho na vichocheo vya mwili sana yani katika kukuza ama kuactivate miili yao, naamini hata siku hizi mmekutana na...
  10. Nigrastratatract nerve

    Tunadekezwa, tunajua sote madhara ya deko

    Kuna Mmarekani Mmoja anaitwa Steve Harvey aliwahi kusema kuwa Success is the very uncomfortable process to attempt alimaanisha kuwa mafanikio yanahitaji hofu, yanahitaji pressure yanahitaji kukosa raha yanahitaji kila Aina ya internal and external forces. Binadamu yeyote anayejaribu kushusha...
  11. Kaka Pekee

    Kazi za Kujitolea: Kwanini Ufanye, Umuhimu wake, na madhara ya kuzichukulia kwa wepesi

    Habari Wadau. Naomba kufungua mazungumzo haya kuzungumzia Suala la Kazi za Kujitolea na Umuhimu wake sambamba na madhara yake unapochukulia kwa wepesi nafasi hizi pindi unapozipata. (Kutokana na uzi huu kutokuwa maandiko matakatifu, ninaweza kurekebishwa, unaweza kutoa mchango chanya na kutoa...
  12. Miss Natafuta

    Wanandoa mkipendana sana madhara yake mnapeana Mimba kila siku

    Kuna rafiki yangu mmoja yaani anapendana mnooo na mume wake yaani nadhani ile ndo ndoa pekee hapa nchini. Mume sio Tajiri wala Hana kazi nzuri kiivo maisha Yao ya kawaida nyumba moja, Gari moja na mke sio mzuri hata shape sura kawaida saana yaani kama una mrate kwenye A to F ni D Au E yaani ila...
  13. Yoda

    Nyuklia zina ubabe; Teknolojia ya kuzuia madhara ya silaha za nyuklia italeta mapinduzi makubwa katika uwanja wa vita

    Katika vita ya uvamizi inayoendelea kufanywa na Urusi nchini Ukraine ilifikiriwa na wengi ungekuwa uvamizi rahisi ambao ungedumu siku chache na Putin angetimiza malengo yake kwa gharama ndogo na kwa muda mfupi lakini uhalisia haujawa hivyo, jeshi la Urusi lilikouwa linaonekana kuwa imara sana...
  14. John Haramba

    Madhara ya kuweka dawa za kuongeza hamu ya ngono ukeni, hatarini kupata saratani ya shingo ya kizazi

    Wanawake wameshauriwa kuacha mara moja kuweka dawa za kuongeza hamu ya ngono ambazo hazijapimwa na wataalamu katika sehemu zao za siri, kwa kuwa wako katika hatari kubwa ya kupata saratani ya shingo ya kizazi ambayo ni tatizo kubwa kwa wanawake wengi nchini. Amezungumza hayo Mtaalamu na Mshauri...
  15. Mawematatu

    Madhara ya kusoma sana vitabu

    Angalia sana haya mambo. Utajifunza mengi juu ya Ulimwengu na uulize ukweli wake. Ukijua hakuna ukweli. Utakuwa muongeaji sana kwenye karamu maandishi na hulali. Mpenzi wako ataondoka kitandani kwa sababu mazungumzo ya wapenzi yamekuwa jukwaa la mjadala wa kifalsafa. Yaani unakera. Utakuwa...
  16. J

    Athari za kutokuwa na Utawala Bora

    Nini Maana ya Utawala Bora? Utawala bora ni matumizi ya mamlaka ya kisiasa, kiuchumi kijamii au vinginevyo katika kusimamia masuala ya nchi kwenye ngazi zote. Utawala bora ni matumizi ya mamlaka ambayo yanakuwa na uwazi, uwajibikaji, ushirikishwaji wa watu, ufanisi, tija, uadilifu usawa na...
  17. Suley2019

    Ndoa za utotoni barani Afrika: Hali ilivyo, madhara yake na uelekeo wake kwa sasa

    Hali ya Ndoa za utotoni Barani Afrika kwa ujumla Kulingana na Taasisi ya Takwimu ya UNESCO, kuna watoto milioni 32 ambao hawajaenda shule wa umri wa msingi barani Afrika na vijana milioni 28 wasioenda shule - viwango vya juu zaidi ulimwenguni. Inaelezwa kuwa katika Bara la Afrika, wasichana...
  18. MR SALMIN

    Madhara na faida za kujisajili mtandaoni

    Je, ulishawahi kutapeliwa na kampuni iliyosajiliwa!? Taasisi nyingi za kiserikali na binafsi kwa sasa husajili vitu vingi online ili kurahisisha na kuongeza ufanisi. Mfano TRA na BRELA. TRA huweza kusajili TIN no. Bure mtandaoni na BRELA ukasajili kampuni mtandaoni. Hiii imesaidia vitu vingi...
  19. John Haramba

    Madhara ya kidonge cha kuzuia mimba (P2), hakifai kwa kila mtu

    Vidonge vinavyofahamika kama P2 au vidonge vya asubuhi ni miongoni mwa aina ya udhibiti wa kuzuia mimba. Mtandao wa kliniki ya Mayo inafafanua kuhusu vidonge hivi; Uzazi wa mpango wa dharura ni chaguo bora kwa kuzuia mimba baada ya kujamiiana bila kinga, lakini haifai kama njia zingine za...
  20. D

    Matumizi makubwa ya 'energy drinks' hasa kwa vijana, wanafahamu madhara yake?

    Matumizi ya vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks), miongoni mwa vijana ni makubwa sana kwa sasa. Sina hakika kama vijana hawa wanajua athari za matumizi makubwa na ya Mara kwa Mara ya vinywaji hivi haswa kwa siku za mbeleni. Pengine watu wanahitaji elimu juu ya matumizi ya vinywaji hivi...
Back
Top Bottom