Hivi ushawahi kujiuliza chanzo cha picha za utupu ni nini? Ama chanzo kuvujishwa kwa siri za wakati wa tendo la faragha ni nini?
Imekuwa janga kubwa kwa Taifa, ingawa inaonekana kupendwa na vijana wengi wa Tanzania, sijui niite nini, maana nikisema ni ushamba haitoshi kuelezea hili, itoshe...