Wakuu,
Kampuni ya Moab Minerals imethibitisha uwepo wa Uranium kwenye mashimo yote 51 ya uchimbaji yaliyofanyiwa majaribio katika mradi wake uliopo Manyoni.
Uchunguzi wa awamu hii kutoka kwa Moab Minerals umeonyesha kuwa eneo hilo la Manyoni lina viwango vya juu vya uranium, ambapo mashimo 49...