Hiyo ni taarifa ya Muda huuIran’s foreign ministry says the US operation to rescue a downed airman may have been a cover to “steal enriched uranium” from the country.
.
Iran’s foreign ministry spokesman Esmaeil Baqaei said there were “many questions and uncertainties” about the operation.
Tanzania maji yametushinda, umeme nao ni tatizo sugu, miradi mingi imekufa kifo cha mende.
Hii uranium ambayo majigambo yenu mnasema mabeberu wanaonea wivu.
Mtaweza kuendesha na tunavyo wafahamu hata mkiwapa wawekezaji hawata jali afya za watu sababu sio nchi yao.
SGR tumeona mnasingizia mvua.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwigulu Lameck Nchemba, amesema kuwa zipo sababu zinazofanya baadhi ya watu kuingilia mambo ya Tanzania, akibainisha kuwa wanajua nchi imegundulika kuwa na madini ya uranium na kuwa ya kwanza barani Afrika.
Amesema madini hayo ni adimu na...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge anatarajia kutua kibabe...
Iran ina uwezo wa kuanza kurutubisha madini ya uranium tena - kwa uwezekano wa kunda bomu- katika "muda wa miezi kadhaa", mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuratibu masuala ya nyuklia amesema. Rafael Grossi, mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya
Atomiki (IAEA), alisema mashambulizi ya...
Rais Putin ametoa hilo wazo maana hayo madini ndio chanzo cha Israel kutembeza kichapo Iran, hivyo yakiondolewa huko Iran basi ugomvi utapungua, vinginevyo Israel itaendelea kuwinda vinyu vyote vya nyuklia na kivichakaza.....
Vladimir Putin is willing to store uranium from Iran’s nuclear...
Nakumbuka kipindi cha utawala wa JK kule wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma iligundulika hazina kubwa ya madini ya Uranium
Ila tangu wakati huo sijasikia mwendelezo wa uchimbaji wa madini hayo ambayo ni muhimu kwenye nishati na mambo mengine.
Je CCM wameuza kwa mabeberu au shida ni nini hadi...
Wakuu,
Kampuni ya Moab Minerals imethibitisha uwepo wa Uranium kwenye mashimo yote 51 ya uchimbaji yaliyofanyiwa majaribio katika mradi wake uliopo Manyoni.
Uchunguzi wa awamu hii kutoka kwa Moab Minerals umeonyesha kuwa eneo hilo la Manyoni lina viwango vya juu vya uranium, ambapo mashimo 49...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.