Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Tanzania maji yametushinda, umeme nao ni tatizo sugu, miradi mingi imekufa kifo cha mende.
Hii uranium ambayo majigambo yenu mnasema mabeberu wanaonea wivu.
Mtaweza kuendesha na tunavyo wafahamu hata mkiwapa wawekezaji hawata jali afya za watu sababu sio nchi yao.
SGR tumeona mnasingizia mvua.