Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, David Kafulila aliwahi kuulizwa na Ayo Tv siku chache zilizopita kuwa haoni anahatarisha nafasi yake ya ukuu wa Mkoa kwa uamuzi wake wa kumnyang'anya soko la madini lililokuwa likiendeshwa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Simiyu (MNEC), Gungu Silanga...