Abū al-Ḥasan ʻAlī ibn ʻAbdillāh ibn Jaʻfar al-Madīnī (778 CE/161 AH – 849/234) (Arabic: أبو الحسن علي بن عبد الله بن جعفر المديني) was a ninth-century Sunni Islamic scholar who was influential in the science of hadith. Alongside Ahmad ibn Hanbal, Ibn Abi Shaybah and Yahya ibn Ma'in, Ibn al-Madini has been considered by many Muslim specialists in hadith to be one of the four most significant authors in the field.
Wazungu wana bahari kubwa kuliko waafrika, na mchanga wa bahari uko kwenye fukwe na ndani ya maji Bahraini. Swali ni kwanini wazungu waje kuchimba mchanga huo TANZANIA? Je, huu mchanga wanaotaka kuchimba kwetu haupatikani kwenye nchi nyingine Africa, Asia, ulaya au marekani ila Kigamboni tu...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema ifikapo 2025, Serikali inalenga Sekta ya Madini iweze kuchangia 10% ya Pato la Taifa. Ameeleza hayo katika Hafla ya Utiaji Saini Mikataba baina ya Serikali na Kampuni za Uchimbaji Madini.
Amesema, "Tunasikia Madini yamepenya huku na huku, jitihada zinafanyika...
Bila kumung'unya maneno, wakuu mimi naona Itakua vyema Dkt. Musukuma akiteuliwa kuwa waziri wa madini maana anauzoefu na mambo ya madini.
Huyu jamaa yupo smart sana.
Anaweza kuleta mageuzi kwenye sekta ya madini nchini.
Karibuni kutoa hoja
Nadhani simulizi ya wizi inaweza kusimuliwa vyema kwa Mkuu wa nchi ikadhibitiwa kwani yeye anamiliki vyombo vyombo vya udhibiti. Naomba nichokonoe wizi huu wa madini ili wanaohusika wazibe palipotoboka.
Wizi unaweza kufanywa Kwa sababu mwizi amedhamiria kuiba lakini pia wizi unaweza...
Nafuatilia hotuba mbalimbali za viongozi wastaafu kuelekea miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika.
Nimefurahishwa na hii ya Nyerere anayomzungumzia mchagga mmoja aliyempa mzungu tanzanite na yeye akapewa golori kisha yule mrombo akatoka hapo akicheka na kurukaruka kama ZUZU.
Nimeona pia ile ya mbunge...
Kiukweli nilibahatika kutembelea jumla ya plants za madini 9, tatu kahama Shinyanga na 6 wiliya ya Bukombe Geita. Nilichokiona na kukishuhudia kwenye plants hizo ni cha kuhuzunisha na kusitikisha sana haswa kuhusu afya za watu walioajiriwa kwenye hizo plants na wanaoishi kuzunguka hizo plants...
Baada ya kuisoma kwa uzuri tafiti iliyofanywa na wataalamu wa mafuta na gesi Afika, Polus, A na Tycholiz, W nimekuja na review ya kile ambaco kipo kwenye kazi waliyoifanya mwaka 2019 ikiaangazia uwanja wa madini na gesi asilia nchini Tanzania huku wakionesha namna ambayo nchi inapoteza mbali na...
Na Tito Mselem
Tanzania ni miongoni mwa mataifa Duniani yaliyobarikiwa zaidi kwa rasilimali za asili. Miongoni mwa rasilimali hizo ni pamoja na madini ambayo yamekuwa na mchango mkubwa katika kukuza vipato vya Watanzania na uchumi wa Taifa kwa ujumla.
Shughuli za uchimbaji wa madini nchini...
Habari, madini tajwa hapo juu yanahitajika Sokoni Dar es salaam... kwa wingi...
tuma picha ya mzigo ulonao, sema na offer yako...
tuma picha kwa Whatsapp 0714417641...
Asante.
"Mamlaka ya CAG ni kukagua taasisi za Serikali. Kitu kinachokwamisha ukaguzi wa Sekta yetu ya Madini ni makampuni yanayochimba madini nchini kumilikiwa na wageni, hivyo hakuna umiliki wa Serikali,"
Prof Assad, aliyekuwa CAG
Wiki ya asasi za kiraia
Nchi zinazoongoza ku export madini haya na pato lake Russia 3.02 bilions US dola kwa mwaka
Canada 2.77
United States of America2.22
Germany1.47
Norway1.25
UK 1.1
Finland1.02
Zimbabwe0.99
Japan0.92
Indonesia0.81
Netherlands0.71
France0.69
China0.55
Papua New Guinea0.46
Philippines0.41
Belgium0.4...
Leo katika pitapita zangu mtandaoni nimetembelea ambako nimekutana na hii stori, nikaona ni vyema niielete hapa tuijadili kwa pamoja. N.B Mimi si mwandishi wa habari hii.
Barani Afrika na maeneo mengine duniani utamaduni wa kuzika mtu anapofariki ni utamaduni wa miaka mingi na ndio utamaduni...
Poleni na majukumu ya kulijenga taifa,
Hapo kabla ya sheria mpya ya madini ya mwaka 2017,haijatungwa na kupitishwa, wakaguzi wa madini migodini walikuwa wanaenda kwenye vituo vya ukaguzi, hasa migodi mikubwa na ya kati kwa utaratibu wa mzunguko/rotations yaani leo upo hapa kesho pale, ili...
Naandika kwa jinsi nilivoelewa baada ya kusoma comment za watu wa Quora kuhusu dhana nzima ya uchawi, ulozi, na laana.
Ki ufupi kabisa, wadau wamezungumzia uchawi kama aina fulani ya nguvu ' energy' kama ilivo energy nyingine unazozifahamu kama nishati ya jua, umeme n.k.
Na wamezungumzia...
Ukisoma sheria ya madini ya mwaka 2010 na marekebisho yake sehem ya VI isemayo ROYALTIES FEES AND OTHER CHARGE. kifungu cha 87(1) inasisitiza royalty ya 6percentum kwenye dhahabu na madini mengine km yalivyoainishwa japo mengine kiwango chake kiko chini ya 6percentum.
Kumezoeleka katika nchi...
Nakumbuka miaka ya 80 kulikuwa na mwalimu mmoja Mcanada alikuwa anafundisha shule moja ya madhehebu ya Wasabato inaitwa Parane Secondary School. Alikuwa anafundisha Chemistry na Physics. Don Straub. Alikuwa mzuri sana katika masomo hayo. Sehemu hiyo inaitwa Mamba Myamba, Upareni.
Kuna kipindi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.