madogo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ngongo

    Mabadiliko madogo Baraza la Mawaziri yanalenga kumsogeza January mahali patakatifu?

    Heshima sana wanajamvi, Nayatazama mabadiliko madogo baraza la mawaziri kama sehemu ya mkakati wa kumwinua January Makamba kuelekea kileleni (IKULU) baada ya Wizara ya Nishati kumshinda. Kuendelea kumbakiza wizara hiyo hiyo ilikuwa ni kumharibia kisiasa. Najua watu wengi wamekimbilia kushangaa...
  2. Mcqueenen

    Hawa madogo wa country boy (Fresh boys) Wana kuja kuja

    Kuna Hawa madogo wa country wizzy wanajiita fresh boys Wapeni sikio mtoe marks Wanakuja kuja
  3. benzemah

    Rais Samia afanya uteuzi na mabadiliko madogo ya vituo vya kazi

    1. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Me. Samia Suluhu Hassan amewateua wafuatao: Amemteua Bw. Tito Philemon Mganwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe; na Amemteua Bw. Mussa R. Kilakala kuwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Kaliua Mkoa wa Tabora. Aidha, Mhe. Rais...
  4. Pang Fung Mi

    Kwa nini karatasi zenye taarifa za Onyo kwenye Bidhaa hasa za Madawa huwa na Maandishi madogo sana?

    Hello hello, Tusaidiane kujibu hilo swali tafadhari nimewiwa kujua sababu au umakusudi nyuma ya pazia na. Je, hayo maneno ya onyo hujumuishwa kwenye matangazo ya hizo bidhaa kabla ya kumfikia mteja? Nawasilisha. Shukrani kwa mwitikio wako. Wadiz.
  5. JituMirabaMinne

    Baadhi ya matatizo yanasumbua sana kwenye magari, Lakini ni madogo.

    Nimelazimika kuleta hii thread baada yakukutana na matatizo mawili yanayofanana ndani ya siku 5 katika magari mawili tofauti. Tar 21 mwezi huu kuna jamaa alinicheck, nimeshamfanyia kazi kabla, ana toyota IST ina 1490Cc. Alinicheck akaniambia gari yake akisimama kwenye foleni inamisi halafu...
  6. Black fighter

    Natafuta kazi ya udereva wa magari madogo, security na house work

    Nina umri wa miaka 20 mkazi wa Dar es Salaam ninatafuta kazi kati ya hizo tajwa hapo juu na uzoefu wa kuendesha magari wa miaka 2 pia nakazi za nyumbani. Elimu yangu ni form four level pia na driving certificate ya magari madogo
  7. benzemah

    Rais Samia Kumhamishia Chalamila Dar es Salaam, Umelipokeaje?

    Usiku wakati tarehe 15 Mei 2023 ikielekea ukingoni Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu iliachia "PDF" ya Mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa ambapo wakuu wa mikoa minne waliguswa na mabadiliko aliyoyafanya Rais Samia Amos Gabriel Makalla amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza akitoka Dar es...
  8. beatboi

    Tamaduni Music tuwape maua yao kwa kuchangia pakubwa hawa madogo wanaofanya vizuri kwenye game hivi sasa

    Hiki ndio chuo kikuu cha hiphop hapa bongo kwani tangu waanze harakati zao wanatoa vichwa vinavyofanya kweli kwenye kila angle. Hawa ni baadhi ya waliopitia University of tamaduni music wakatoka na bachelor degree inayowasaidia kupata mkate wa kila siku, *Kontawa *Maarifa *Toxic *Pmawenge...
  9. M

    Uongozi wa Simba SC na Mwekezaji Mo Dewji mambo madogo madogo yanayotuaibisha kama haya yawe Historia Klabuni Kwetu

    Nimekwazika sana tu kusikia ( tena kutoka kwa Msemaji Ahmed Ally akikiri hivi punde EFM Sports Headquarters na kusema zimechelewa tu kidogo kutokana na Masuala ya Fedha ) kuwa Wachezaji wa Simba SC wana manung'unuko ya Moyoni baada ya kutopewa / kutolipwa Posho zao kwa wakati ambazo Sisi...
  10. bahati93

    Madogo wa mastaa bongo wenye talent kubwa

    Tabia za haya madogo kuiga fan za mabrother au masistet wao sio nzuri hata kidogo. Kwani ni lazima kila mtu awe star, wengine wabaki mashabiki tu. Sasa mbaya zaidi unakuta lidogo linamwuigiliza kakaye/dadaye mpaka linamfunikaa. Hii hali inaumiza sana na hawa hapa ndio madogo wanaowakimbiza...
  11. J

    Waziri Mkuu Majaliwa aagiza Stendi Kuu Bariadi kutumika kwa mabasi makubwa na madogo

    26 Machi, 2023 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI WAZIRI MKUU AAGIZA STENDI KUU BARIADI ITUMIKE KWA MABASI MAKUBWA NA MADOGO WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza stendi kuu ya mabasi katika mji wa Bariadi mkoani Simiyu ianze kutumika kwa mabasi makubwa na madogo ili kuondoa usumbufu kwa abiria...
  12. Kaka yake shetani

    Asilimia kubwa tunanunua simu na laptop zenye uwezo mkubwa na pesa kubwa wakati matumizi yake ni madogo

    Ili jambo watanzania tunajikuta tunapoteza sana pesa kwa kununua kitu chenye uwezo mkubwa kuliko matumizi.yani mtu ana nunua laptop yenye uwezo wakufanya kazi za production,game na injinia alafu yeye anaenda kutumia kwa ajili ya kuandikia barua na kazi za ofisi. Tuje kwenye simu huku ndio...
  13. R

    Makame Mbarawa anafaa kuwa Waziri wa Nishati; Mwigulu Ofisi ya Makamu wa Rais, January Uchukuzi na Kimei waziri wa Fedha.

    Tumekwama sehemu si Kwa Sababu nyingine Bali Kwa Sababu ya overconfidence na kuwa na viongozi wanaowaza zaidi urais kuliko uwaziri. Kwa lengo la kuweka Sawa upepo na kuboresha utendaji nadhani mabadiliko haya yatakuwa na tija Kwa kiasi flani. 1. Waziri wa Fedha - Mzee Kimei 2. Waziri wa Nishati-...
  14. mdukuzi

    Siku Mchina akianza kutengeneza magari madogo ya kutembelea, uchumi wa Japan utayumba

    Kwenye piki piki, honda na yamaha na suzuki wametolewa sokoni huku Afrika. Mabasi na malori mchina kashika soko, Yutong tatu sawa na scania moja, Kwenye malori ni hivyo hivyo. Sasa siku akiamua kutengeneza gari ndogo za kutembelea, mjapani atapata shida
  15. Dan Zwangendaba

    Hawa madogo wa Simba wametegwa tena, wanategeka

    Tangu niijue na kuifuatilia Simba sijawahi kuona kikosi kibovu cha Simba kama kilichocheza juzi na Mlandege. Haijawahi kutokea hata Simba B ikawa hovyo kiasi hiki. Kocha Mgunda pamoja na kukerwa na namna walivyocheza, leo wamekichezesha kikosi kilekile isipokuwa Kibu tu. Watoto ni watoto tu...
  16. Gama

    Urusi: Makabila madogo yaongoza kwa kuwa na vifo vingi katika vita ya Ukraine

    Imeabainishwa kuwa minorities (makabila madogo) ndio wamekuwa wakifa zaidi hii inaashiria kuwa makabila hayo ndio walioorodheshwa kwa wingi. Hii inaashiria pia kuwa huenda Putin analenga kupunguza idadi yao kwa kuwa wengi wamepelekwa vitani bila kuwa na uzoefu. Mfano: Moscow [yenye watu...
  17. B

    Dereva wa kupeleka magari madogo mikoani na mipakani

    Mwenye uhitaji wa Dereva anaye peleka magari madogo mikoani na mipakani nipo kwa ajili hiyo, bei zangu rafiki sana na nafanya kwa uaminifu mkubwa sana. Napeleka magari yanayotoka bandarini na kuyapeleka kwa wahusika pia napeleka yale ya transit hadi mpakani. Bei zangu ni kama ifuatavyo: 1...
  18. T

    Natabiri Mabadiliko Madogo Baraza la mawaziri. Wawili kama sio mmoja kutemwa

    Igweeee nisiwachoshe wala nisijichoshe. Madam President akirejea kutoka Kenya huenda usiku mkasikia mabadiliko ktk baraza la maziri. Na kwa vile utabiri unaonyesha mawaziri wawili watapigwa chini kama sio mmoja na wizara fulani nyeti itapewa mtu atakae teuliwa kwanza ubunge viti maalumu...
  19. Prospogi

    SoC02 Serikali ya Tanzania itumie magari madogo (small SUVs)

    Tanzania, nchi yangu nzuri, inayotajwa kufikia uchumi wa kati wa chini, imebarikiwa kuwa na rasilimali za aina mbalimbali kama vile ardhi nzuri ya kilimo, madini, misitu, n.k; bado inakuza uchumi wake taratibu sana kutokana na changamoto mbalimbali. Moja ya changamoto kubwa sana kwa miaka mingi...
  20. BARD AI

    Kutomsifia mpenzi wako ni kutengeneza urahisi wa kuachwa au kusalitiwa

    Unachohitaji kujua: Kinachosababisha mapenzi/mahusiano kufa wala sio mambo makubwa sana bali ni usimamizi mbaya wa kila siku wa mambo madogo madogo ya maisha. Hayo mambo unayoyaona kuwa madogo ndio mambo makubwa. Mfano, mawasiliano kati yenu, kujali, zawadi za hapa na pale kama maua, pipi...
Back
Top Bottom