madrasa

  1. Linguistic

    IGP Sirro alikuwa sahihi kutangaza mbinu za ufuatiliaji wa mafunzo ya Madrasa na Sunday School?

    Wakurungwa Kumekucha Kimsingi Mimi Sidhani kama ilikuwa ni busara IGP Sirro kutangaza adharani nia ya kufatilia mafunzo yanayo endelea misikitini na manisani. Let say kweli baadhi wanafundisha uovu kwa watoto, je wataendelea kufundisha wakati mumewastua!? Polisi Mnafanya watu kubuni mbinu...
  2. majangatz

    Natafuta Mwalimu wa Dini ya Kiislam (Madrasa), awe Mwanamke

    Assalam Alleykum. Ninahitaji mwalimu kwa ajili ya kufundisha dini ya Kiislam. Sehemu alipo mwanafunzi ni Luguruni, Morogoro Road. Mwalimu lazima awe mwanamke na mwanafunzi hajawahi kusoma Quran japo ana Idea na mambo ya Kiislam. Tafadhali kwa anayemjua mwalimu au mtu ambaye anaweza kufanya kazi...
  3. Linguistic

    Wazazi kuweni makini Na walimu wa "Twisheni" na Madrasa

    Wakuu kuweni makini na hawa maustadhi wanaowafundisha Watoto wenu huko vyuoni au twisheni. Tuko kwenye CAT session hapa Dodoma, Kuna Kesi Mwalimu wa Madrasa Moja Hapa Alikuwa anawafundisha watt mchanganyiko kumbe Miongoni Mwao watt wale Kuna Binti wa miaka 9 ustadhi akawa anamuingilia yule...
  4. mshale21

    Mwalimu wa madrasa ahukumiwa miaka 80 jela kwa kumbaka binti wa miaka 15

    Mahakama ya mkoa Mwera imemhukumu Mussa Nassibu Ismail (21) ambaye ni Mwalimu wa madrasa Kiboje wilaya ya Kati, mkoa wa Kusini Unguja kutumikia miaka 80 jela na faini ya shilingi milioni 3 kwa kosa la kushindwa kujizuia matamanio yake na kumbaka na kumtorosha mtoto wa kike mwenye miaka 15...
Back
Top Bottom