maduka

John Maduka (born 27 September 1970 in Thyolo) is a retired Malawian footballer. He used to play for Bloemfontein Celtic until his retirement in 2009

View More On Wikipedia.org
  1. Kiturilo

    Wafanyabiashara Arusha wafunga maduka kwa muda usiojulikana

    Baada ya wafanyabiashara na Chadema kushangilia mateso ya kufungiwa biashara kwa wamachinga hatimae zamu yao imefika, kuanzia leo kodi ya maduka kwenye jiji la Arusha imepandishwa kwa 100% na kupelekea wenye maduka kugoma kwa muda usiojulikana. Wafanyabiashara wafunga maduka kisa kupandishiwa...
  2. M

    Nina miaka 45, nimeshafungua maduka 11 sasa nimefilisika

    Ninaomba kusaidiwa mchango wa mawazo tatizo ni nini mpaka muda huu nimefilisika kabisa. Mwisho ndani ya miaka mitatu nimefilisika maduka 5. Ambayo nilikuwa nalipia kodi laki 5 kwa mwezi. Nina mkosi gani au ndio majaliwa yangu au mipango ya Mungu ama shetani. Situmii kilevi na sijawahi kuhonga...
  3. Bushmamy

    Arusha: Wafanyabiashara wa maduka watishia kuandama, wafunga maduka

    Wafanyabiashara wa maduka jijini Arusha wafunga maduka yao na kuitisha kikao cha dharura kutaka kuandamana baada ya kuambiwa na jiji kuwa hakuna ruhusa ya kutoa (kudisplay) bidhaa zao nje ya maduka yao bali ni ndani ya maduka tu. Hakuna ruhusa ya Kutoa hata mdoli wa nguo nje au pochi nje ya...
  4. V

    Natafuta kazi, nimesoma Bachelor of Finance na uzoefu mwingi

    Hello wanaforum naitwa richard nimegraduate degree ya finance university of dsm natafuta nafasi ya kazi ya kujitolea kwenye kampuni yoyote nipate uzoefu Napatikana Dar Es Salaam Tanzania namba zangu 0657710078
  5. beth

    #COVID19 Urusi: Shule, maduka na migahawa Jijini Moscow yafungwa

    Maduka, Migahawa na Shule za Mji Mkuu wa Urusi, Moscow zimefungwa wakati Taifa hilo likikabiliwa na ongezeko la maambukizi na vifo vinavyotokana na Covid-19. Maduka ya bidhaa muhimu na yale ya Dawa yataendelea kuwa wazi. Urusi imerekodi vifo 1,159 katika saa 24 zilizopita. Vilevile Mamlaka...
  6. Equation x

    Pata fremu za maduka popote pale ulipo

    Tutumie uzi huu kuweka picha za fremu za maduka yanayopangishwa sehemu yoyote ile,tutaje pia mikoa zilizopo pamoja na bei zake. Picha ni muhimu zaidi ili kuweza kumvutia muhitaji. Karibuni......
  7. Deeboyfrexh

    Kwa wenye supermarkets, maduka, matumizi binafsi ya watoto home nina supply hii biskuti 😋

    Ni biskuti nzuri toka katika kampuni ya bakemate inayoitwa Kreme-E! Imetengenezwa na kuwa Imported from India. Taste yake ni ya pekee ikiwa katika flavors mbili tofauti: 1.Chocolate 2.Orange Ina ujazo na ladha nzuri zaidi compared na ambazo ziko madukani kama Royal, Cremelo na zinginezo, 82g...
  8. Tajiri Tanzanite

    Mkoa wa Arusha machinga wawapiga wenye maduka

    Hapo vip!! Katika pitapita zangu nilishuhudia machinga wakitaka kumchomea moto mfanyabiashara mmoja pale Ngulelo stand. Na ugomvi ulianza baada ya mfanya biashara yule kuwambia waondoe mabanda mbele ya duka lake kwasababu anashindwa kufanya biashara. Hao machinga walimvamia jamaa kama...
  9. S

    TRA fanyeni kazi yenu kwa ufanisi! Watu hawaombi risiti na wenye maduka hawatoi risiti kikamilifu!

    Juma mosi nilienda kariakoo kununua bidhaa kwenye duka linalomirikiwa na mtu mwenye asili ya kichina mara baada ya kufika muuzaji akamiambia yafatayo ▪︎Kitu unachotaka kununua ni cha laki na hamsini ila bila risiti laki na thelathini elfu ▪︎Na ukitaka bila risiti kabisa ni laki na ishirini...
  10. nover

    Maduka ya jumla ya vifaa vya umeme kwa mkoa wa Mwanza

    Habari wadau. Nategemea kufungua kibanda cha kuuza vifaa vya umeme maeneo ya Mkuyuni Mwanza hivi karibuni. Kwa mnaojua machimbo ya kupata mzigo wa uhakika kwa bei nafuu naombeni msaada wenu. Asante.
  11. S

    Mrisho Gambo: Wafanyabiashara wa maduka ya kubadili fedha za kigeni walioporwa fedha na mali zao warudishiwe

    Mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mhe. Mrisho Gambo ameiomba Serikali kuwarejeshea mali na fedha zilizochukuliwa katika maduka ya kubadilisha fedha kwani “wameporwa pesa zao, magari yao, hati zao za nyumba, viwanja, wamewaacha hoi-bin-taaban.” Pia, soma: Arusha: Maduka yote ya kubadilishia fedha...
  12. OKW BOBAN SUNZU

    Yanayoendelea maduka ya Vunja Bei ni shida

    Twendeni taratibu wana Simba muda bado upo. Fred ashauriwe kufungua matawi mengi Dar ili kuepusha msongamano. Mtendaji mkuu wa klabu ya Simba SC,🦁 Babra Gonzalez 👸 amesema kuwa baada ya kuingiza jezi mpya za Simba 🦁 sokoni ndani ya masaa 8 jumla ya jezi 42,000 zilikuwa zimeshauzwa na mawakala...
  13. Jamiru

    Maduka ya wauza perfume weng n ya wapogaji

    Katika pitapita zangu nikakutana na duka moja la perfume na vipodozi , nikaingia kwaajil ya kuchukua mahitaji yang , sasa kuangaza nikaona perfume ya Hugo boss na bleu de chanel nikaomba anitolee kwaajil ya kuzikagua maaana mzigo wa Hugo boss nasikia ni bei mbaya sasa nikangalia unanukia poa lkn...
  14. Orketeemi

    Ni sehemu gani ndani ya jiji la Mwanza wanauza kanzu?

    Habari . Ni sehemu gani ndani ya jiji la Mwanza wanauza kanzu kali na mavazi mengine kama hayo?
  15. Tomaa Mireni

    SoC01 Ukitaka kufanikiwa katika Biashara ya Maduka ya Vyakula fanya hivi na utakuja kunikumbuka

    Heshima kwenu wasomaji na wapiga kura. Leo nataka niwape vijana fursa ambayo kwa miaka imedharaulika. Biashara ya maduka ya vyakula inaweza kumtoa mtu yeyote yule lakini inategemea na eneo na moyo wako wa kuifanya. UMUHIMU WA KUFANYA UTAFITI KWANZA Kuna maeneo yanayotifautina sana...
  16. MSAGA SUMU

    Fred Vunja bei: Maduka yetu pekee ndio yanauza nguo original hapa Bongo

    Baada ya kusikia jina Vunja bei kwa muda mrefu mitandaoni ikabidi na mimi nigoogle, nikafaikiwa kukutana na podcast moja ya vunja bei. Jamaa ameongea mambo mengi sana na moja amewataka wateja waje kwa wingi kwenye maduka yake maana hamna kitu fake vyote ni original. Anasema ukikuta nguo...
  17. T

    Nasikia eti mnazitamani tena BUREAU DE CHANGE mmesahau pigo la APRIL 30,2015?

    Anguko kubwa la thamani ya sh ya tanzania lilishuhudiwa mwaka 2015 april, ambapo kwa muda wa mwezi mmoja thamani ya shilingi ya Tanzania ilipolomaka toka sh 1650 kwa dola moja hadi sh 2010 kwa dola moja, hili lilikuwa ni anguko la asilimia 21% ndani ya mwezi mmoja. Hints: Tukio hili lilitokea...
  18. W

    Anayejua anisaidie namna ya kudhibiti Sisimizi

    Habari wana JF! Katika nyumba yangu kuna tatizo la sisimizi. Hivi sasa imekuwa ni kero mtindo mmoja. Kwa yeyote anayefahamu, naomba anijuze nitumie dawa gani ili wadudu hawa wapotee kabisa ndani ya nyumba yangu.
  19. Mkaruka

    MSAADA: Je, Wamiliki wa Maduka ya Jumla wananunua wapi bidhaa zao?

    Nahitaji kufungua duka la bidhaa na kuuza kwa bei ya jumla, Je, naweza kupata wapi wanakouza bidhaa wanakonunua wengine?
Back
Top Bottom