Mfungulieni Lissu, Acheni blabla.
Kumlazimiaha Lissu akubali kufanya Maridhiano akiwa ndani ya Kuta za MAGEREZA ndipo atoke jel, ni sawa na kumlazimisha mtu kusaini nyaraka akiwa amewekewa mtutu wa bunduki kichwani.
Mnasingizia eti Kuna mwenzenu mmoja ndio anatia ugumu. Endeleeni na Maridhiano...