Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,833
- 8,777
Mfungulieni Lissu, Acheni blabla.
Kumlazimiaha Lissu akubali kufanya Maridhiano akiwa ndani ya Kuta za MAGEREZA ndipo atoke jel, ni sawa na kumlazimisha mtu kusaini nyaraka akiwa amewekewa mtutu wa bunduki kichwani.
Mnasingizia eti Kuna mwenzenu mmoja ndio anatia ugumu. Endeleeni na Maridhiano na wengine kwa ni lazima kulidhiana na mhaini?