Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,833
- 8,777
- Thread starter
- #21
Kama wanajua hilo basi waishi kwa heshima na CHADEMAvyama nje ya CDM vinaitwa washereheshaji tuu
Kama wanajua hilo basi waishi kwa heshima na CHADEMAvyama nje ya CDM vinaitwa washereheshaji tuu
Kudadeki wameshanyooka ,wameshatepeta hawana pa kukimbilia ,wamezingirwa Kila Kona.4. MASHARTI NA MUDA MAALUMU KUTOKA COMMONWEALTH CMAG(The Ultimatum)
Kutokana na mapendekezo ya Mjumbe Maalum, CMAG imetoa maelekezo yenye ukomo wa muda (Time-bound actions) kwa Tanzania:
Ndani ya Siku 30: Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria, na kuwaachia wengine wote wanaoshikiliwa kwa kutumia haki zao kwa amani.
Ndani ya Siku 60: Kurejesha upatikanaji kamili wa mitandao ya kijamii na kuacha vitisho dhidi ya vyombo vya habari na watetezi wa uhuru wa kujieleza.
Ndani ya Siku 90: Kuitisha jukwaa shirikishi na la kuaminika la vyama vya siasa (likiongozwa na mwezeshaji huru) kujadili mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi, ushindani wa kisiasa, wafungwa, na uwajibikaji.
Bila Kuchelewa: Kuanza uchunguzi huru wa makosa ya jinai uliopendekezwa na Tume ya Uchunguzi, pamoja na fidia kwa wahanga.
MWISHO WA UBAYA NI AIBU
Ndo hapo Sasa,Kuna siku Mbabe akiwekwa kati akikutana na kitoto Cha chekechea anakiomba kimsaidie.Mfungwa anaingiaje makubaliano?
Hiyo inaitwa un-ridhi-anable!Mfungulieni Lissu, Acheni blabla.
Kumlazimiaha Lissu akubali kufanya Maridhiano akiwa ndani ya Kuta za MAGEREZA ndipo atoke jel, ni sawa na kumlazimisha mtu kusaini nyaraka akiwa amewekewa mtutu wa bunduki kichwani.
Mnasingizia eti Kuna mwenzenu mmoja ndio anatia ugumu. Endeleeni na Maridhiano na wengine kwa ni lazima kulidhiana na mhaini?
Labda wamrudishe MboweKama wanajua hilo basi waishi kwa heshima na CHADEMA
Mfungulieni Lissu, Acheni blabla.
Kumlazimiaha Lissu akubali kufanya Maridhiano akiwa ndani ya Kuta za MAGEREZA ndipo atoke jel, ni sawa na kumlazimisha mtu kusaini nyaraka akiwa amewekewa mtutu wa bunduki kichwani.
Mnasingizia eti Kuna mwenzenu mmoja ndio anatia ugumu. Endeleeni na Maridhiano na wengine kwa ni lazima kulidhiana na mhaini?
Hilo nalo neno. Una hoja. Ikatazamwe kwa kina.Mfungulieni Lissu, Acheni blabla.