maelekezo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 1Afica54

    Naomba maelekezo juu ya kilimo Cha tangawizi

    Habari za mda huu ndugu wapambanaji wenzangu Naomba maelekezo kwa anae jua namna nzuri ya kilimo Cha tangawizi 1,hali ya hewani 2,aina nzuri ya mbegu 3, jinsi ya kuandaa mbegu au upatikanaji wa mbegu nzuri 4, je zao la tangawizi linachukua mda gani shambani mpaka kuvunwa 5,jinsi ya kuvuna na...
  2. Naxria abdalla

    Kupewa maelekezo ya kuingiza gari bandari ya Dar kutoka Zanzibar

    Naitaji agent atakaenitolea gari langu bandarini linatoka znz plz naomba msaada,nilishalipia ushuru wote ninalohitaji mtu aniambie nimpe bei gani ili gari nilipate nilikiwa limepatiwa usajili na plate number kabisa
  3. JanguKamaJangu

    Wakili Simon Patrick: Waamuzi wa Ligi Kuu Bara wanachezesha mechi kwa maelekezo

    Ukweli usiofichika ni kwamba Yanga na Simba zimekua kubwa na zenye nguvu kuliko mamlaka za soka nchini. Wasimamizi wa soka letu wako tayari kuzibeba hizi timu ili kuwafurahisha watu kuliko kutenda haki. Kadri muda unavyosonga, ligi inayoitwa ya nne kwa ubora barani Afrika inazidi kuwa ligi ya...
  4. Mussa Dan Luca Mayagila

    Maelekezo kutoka juu: Siku ya wasiojulikana

    ''Usipoteze machozi ya leo kwa huzuni ya jana, dhambi ya zamani inatupa kivuli kirefu" ................................................................................... Kisiwani Throne Palace 001 Kisiwani Ave st, Kisiwani. Msafara wa gari tatu aina ya Toyota land cruiser V8 zenye namba...
  5. GENTAMYCINE

    Kuna Mtu leo duniani Lipshine ilizidi Mdomoni halafu alikuwa akiongea so Sexy hasa hasa akiwa anamalizia kutoa Maelekezo

    Binafsi nikiwa kama mwana Dunia pia nilifurahishwa nae zaidi alipokuwa akiongea kwa Kulegeza Sauti mwishoni. ANGALIZO Kabla ya Kuchangia huu Uzi nashauri Kwanza uangalie hapo juu upo katika Jukwaa gani ili tusije Kutibuana mbeleni.
  6. M

    Natengeneza projects za aina yoyote bure njoo na idea yako tuu hakikisha ni nzuri na yenye kunufaisha. Soma maelekezo kwa kuelewa

    Wakuu mko salama Iwe application ya simu, desktop application, web systems zote hizi nazitengeza... Cost za server na bundle ni juu yako application ikikamilika ndo tutagawana faida
  7. Roving Journalist

    RC Mrindoko: Ufyekaji wa Mahindi ya Wananchi wa Wilaya ya Tanganyika si maelekezo ya Serikali

    https://www.youtube.com/watch?v=gLonjJFJotY Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,amesema kitendo cha wakulima wa wilaya ya Tanganyika kufyekewa mahindi kwenye msimu huu wa kilimo sio maelekezo ya serikali na si haki kufanya hivyo. Mwishoni mwa mwezi Disemba,2024 baadhi ya wakulima wa...
  8. Magical power

    Usitembee na mke wa mtu tafuta wa kwako

    1. Akikupigia simu pokea alafu subiri aanze kuongea yeye maana labda aliekupigia ni mumewe, kenge wewe _ 2. Msizoee kuingia guest moja kila mnapokutana maana watu watawachora na kutoa taarifa, 3. Mkiingia guest msiandikishe majina yenu halisia, _ 4. Ukimpigia simu akakata usipige tena labda...
  9. Bams

    Wito: Rais Samia Toa Maelekezo ya Kumfukuza Anayetajwa Mwalimu na Mhamasishaji wa Ugaidi, Ili Kuokoa Tanzania ya Kesho

    Kila jambo baya lilikuwa na mwanzo mdogo, lakini wahusika hawakuushughulikia mwanzo, na baadaye wakaangamia au wakalazimika kutumia gharama kubwa kuokoa Taifa au jamii yao. Tanzania hii ya leo, pamoja na matatizo mengi tuliyo nayo, umoja wetu usiozingatia dini, kabila au eneo mtu atokalo ni...
  10. milele amina

    Pamoja na serikali kutoa maelekezo, kwanini MUWSA wamegoma kuwafungia wateja wake Pre-paid Water Meter?

    Moshi Urban Water Supply and Sanitation Authority (MUWSA) imejikita katika masuala ya huduma za maji na usafi, lakini kuna maswali mengi yanayojitokeza kuhusu uamuzi wao wa kuwafungia wateja wa mita za maji za awali (pre-paid meters). Katika kipindi hiki, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa...
  11. Stephano Mgendanyi

    Waziri Ulega Atoa Maelekezo Ujenzi wa Barabara ya Mbande - Msongola (3.8 KM) Ukamilike kwa Wakati na Ubora

    WAZIRI ULEGA ATOA MAELEKEZO UJENZI WA BARABARA YA MBANDE -MSONGOLA (3.8 KM), UKAMILIKE KWA WAKATI NA UBORA. Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, leo Jumamosi tarehe 28 Desemba 2024, ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya Mbande hadi Msongola yenye urefu wa kilometa...
  12. Mindyou

    Dr Aikande Kwayu wa CHADEMA: Kama mnaona CHADEMA chini ya Mbowe inasuasua nendeni vyama vingine. Kuna vyama vingine 19 nchini

    Wakuu, Wale wana CHADEMA ambao mnahisi Mbowe hatoshi kuongoza chama chenu mna salamu zenu huku kutoka kwa Dr Aikande ambaye ni mwanachama maarufu. Kwa logic hii maana yake pia CHADEMA mtafute nchi nyingine ya kuishi muache kuilalamikia CCM kwani kuna nyingine 194 duniani...
  13. Waufukweni

    DC Mtatiro atoa maelekezo kwa TARURA baada ya kukuta barabara haipitiki

    Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Wakili Julius Mtatiro amelazimika kumpigia simu Meneja wa Wakala wa barabara Vijijini TARURA mbele ya wananchi wakati wa mkutano wa hadhara kupata ufafanuzi juu ya ujenzi wa barabara iliyopo katika kijiji cha Shatimba kata ya Nyamalogo halmashauri ya Shinyanga. Hayo...
  14. Fortilo

    DOKEZO Siasa Zetu: Watoto wa wanachama wa CHADEMA wasimamishwa Shule Nkasi kwa maelekezo ya Mkuu wa Wilaya na amri ya mwalimu Mkuu

    Tunapeleka taifa letu wapi? Seriously, nimekutana na hii habari kwenye vyanzo mbali mbali vya mitandao ya kijamii vimenihuzinisha sana .. Nimejaribu kuvaa viatu vya hao watoto... Habari yenyewe ni hii👇 WATOTO AMBAO WAZAZI WAO NI WANACHAMA WA CHADEMA WASIMAMISHWA SHULE Mwalimu Mkuu (REGIUS...
  15. K

    Waziri Ndumbaro alitoa Saa 72 ujenzi usitishwe na Uwanja urejeshwe ulivyokuwa, leo ya 110 hali bado ni ileile

    August 12, 2024 Waziri wa Michezo, Dr. Damas Ndumbaro alifika eneo la Tegeta-Wazo kufuatia kuibuka kwa malalamiko kutoka kwa Wananchi wa eneo hilo kudai Uwanja wa Panga ambao unatumika katika michezo na shughuli za kijamii kuna zoezi lilikuwa likiendelea la kuchimba msingi. Kusoma sakata...
  16. Panctuality

    Naomba kufahamishwa zilipo ofisi za Tume ya Maendeleo ya Ushirika (TCDC) Dodoma

    Habarini wenyeji wangu. Kwa mwenye kuzijua ofisi za Tume ya maendeleo ya Ushirika TCDC Dodoma anielekeze na kama una chombo cha moto kama boda boda anipeleke asubuhi hii majira ya saa mbili.
  17. Cannabis

    Makonda: Nilimuambia Lissu kama utani asimshambulie Mwigulu kwa sababu ni Waziri anayetoka "kwao" na amefuata maelekezo yangu

    Katika mahojiano yaliyofanyika mkoani Arusha ambapo Mkuu wa Mkoa huo Mheshimiwa Paul Makonda alisema alimuambia kama utani Tundu Lissu asimshambulie Mwigulu Nchemba kwa sababu ni Waziri anayetoka kwao (Singida) na Lissu alifuata hayo maelekezo yake kwa maana hakuna hata siku moja amewahi...
  18. Lord denning

    DOKEZO Mchengerwa! Usiishie kutoa maelekezo tu kagua barabara zinazojengwa na TARURA hapo Dar ujionee vituko

    Waziri Mchengerwa nimesikia maagizo yako kwa TARURA kuhusu ubora na viwango vya barabara wanazozijenga. Ombi langu usiishie kutoa maagizo ingia site ujionee vituko mwenyewe. Anzia na barabara za hapo Dar. Barabara zinajengwa kwa design za karne ya 18 kwenye karne ya 21. Kuna barabara mpya...
  19. Design Your Idea

    Chagua idea ya nyumba unayopenda ili nikubunie ramani ya kuendana na uchaguzi wako

    Unaweza kutana na picha nzuri ya nyumba na ukapenda nyumba utakayojenga ifananie hivyo hivyo. Kwa gharama ya Tsh 50,000 nakuchorea ramani na makadirio ambavyo vitaendana na muundo wa hio picha ya nyumba utakayo kuwa umechagua. KARIBUNI. WHATSAPP: 0755325977
  20. dalalitz

    Mchakato wa kutuma maombi ya kuhamia Marekani kwa kuishi na kufanya kazi unaanza rasmi leo

    Hii nimeizungumzia sana sana hapa na kwenye baadhi ya vilinge nje ya hapa. Pia wadau wengi wamekuwa wakiifafanua hapa na nje ya hapa pia. Nia na lengo ni kulishana taarifa sahihi. Sasa kwa wale mliochelewa kuijua inahusu nini au inahitaji nini ili kuweza kushiriki. Ni rasmi sasa DV-2026...
Back
Top Bottom