Jeshi la Magereza nchini limeokoa jumla ya Shilingi Bilioni 11, ikiwa ni gharama ya chakula cha wafungwa tangu lianze kujitegemea kwa chakula ikiwa ni maelekezo ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli ya kulitaka jeshi hilo litumie nguvu kazi ya wafungwa ilionao kuzalisha chakula.
Akizungumza leo...
Waziri wa maliasili na utalii Dkt. Damas Ndumbaro leo January 12 akizindua jengo la utalii wa mashamba ya misitu Biharamulo-Chato ameiagiza bodi ya utalii nchini kuhaakikisha kuwa inapeleka watalii wa kutosha kwenda kujionea maajabu ya msitu mnene wa Biharamulo-Chato hivyo kuongeza mapato ya...
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amewataka watendaji wanaosimamia ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe kufanya kazi kwa weledi na kuzingatia taratibu za mawasiliano zilizopo serikalini
Amewataka watendaji hao kutoa taarifa za maendeleo ya ujenzi wa mradi huo katika mamlaka...
Serikali kuanzia July 1, 2020 ilifanya marekebisho ya sheria ya kodi ya mishahara (PAYE) na kutoa unafuu fulani kwa watumishi.
Naipongeza Serikali kwa maamuzi haya japo tunahitaji iende zaidi ya hapa kwa kuhakikisha inaboresha mishahara ya watumishi kwa kuiongeza kila mwaka.
Kama serikali...
Kupitia vyombo vya habari kwa siku za hivi karibuni tumeona Mh Jafo akimsimamisha Mkurugenzi wa Geita kupisha uchunguzi na pia ametoa maelekezo kama hayo kwa Halmashauri ya Mpanda.
Lakini Mh. Jafo watu wengi wanajiuliza kuna lile Gari la Mkurugenzi wa Temeke ambalo limenunuliwa 400M mwaka...
Unakuta mmekaa zenu Maskani ( Kijiweni ) tena hasa Kipindi hiki Joto lililopo Jiji na Kune Boy ( Dar es Salaam ) ili mlipunguze Mwilini mwenu unakuta Mama anamtuma Mtoto wake Dukani kununua Kitu lakini akiwaoneni tu nyie mmekaa anaongea kwa Msisitizo na Sauti ya juu kabisa huku akiyasema haya...
Hii ndio taarifa iliyotufikia usiku huu, kwamba Mhamasishaji wa BAVICHA Twaha Mwaipaya na Katibu Mkuu wa Bavicha Mh Nusrat Hanje , leo wameachiwa huru na Serikali ya Tanzania , huku ikidai haina haja ya kuendelea na kesi hiyo, hii ni masaa machache kabla ya kusomwa hukumu ya maombi yao ya haki...
Kwa mujibu wa maelekezo ya ofsi ya waziri mkuu, mpango huu kwa mafundi kupitia VETA, mafunzo ambayo yanatolewa kwa miezi 3 na kugharamikiwa na serikali, kwa Kila mwanafunzi aliyechaguliwa anapaswa kulipwa elfu 50 Kila mwezi akiwa mafunzoni, lakini khari imekuwa tofauti, wanafunzi hawa...
Mpaka sasa hatujui hatma ya chama chetu kwenye uchaguzi mkuu huu.
Siyo mgombea wetu, Mwenyekiti wetu wala kiongozi wa chama aliyetoka hadharani kutuambia tunafanyeje kwenye chumba cha kupiga kura za Urais takribani wiki mbili zijazo.
Mgombea wetu wa Urais haonekani popote na hakuna maelekezo...
Kwa mujibu wa Tumaini Makene:
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Freeman A. Mbowe leo Jumapili, Septemba 4, 2020, saa 7 mchana atatoa tamko, kupitia Mkutano wa Waandishi wa Habari, kuhusu maazimio ya Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Chama kilichoketi jana na kumalizika usiku jijini Dar es Salaam...
Wakuu Salaam;
Kila anayeshika kipaza sauti kutokea CCM analalamika kuwa kuna mgombea anapokea maagizo toka nchi za nje lakini hawaweki wazi ni maagizo gani?
Juzi Mwigulu naye alisema hivi hivi kuwa kuna kibaraka anapokea maelekezo toka nje.
Jana pia Polepole kalilia hicho.
Mgombea Urais...
Baada ya Tume ya Uchaguzi kuthibitisha kwamba haikuwa sahihi kuwaengua Wagombea wa Upinzani kama ilivyofanywa na Wasimamizi wa uchaguzi ambao ni wanachama wa CCM, kuna haja ya kuwaondoa kabisa wakurugenzi hao kwenye usimamizi wa uchaguzi huu ili kuepusha maafa.
Hawaaminiki tena na wala hata wao...
Tupo katika kipindi muhimu sana cha kuelekea kwenye uchaguzi mkuu, mwishoni mwa mwaka huu.
Ni matarajio ya Watanzania wote kuwa vyombo vyetu vya habari vya Umma vitatekeleza wajibu wao kwa usawa bila kupendelea chama chochote cha siasa.
Tumeshuhudia chombo cha habari cha television ya Taifa...
Kauli hii ya Nyalandu inatoa picha gani? Kuna nini anachokihofia kuelekea kura za maoni kumpata mgombea urais CHADEMA?
Kwa kauli hii atakubaliana na matokeo kweli ikiwa hatochaguliwa?
Magazeti tofauti, waandishi tofauti kichwa cha habari kinachofanana hadi maneno yalivyoandikwa. Je, mwandishi wa magazeti haya ni mmoja au yanaandika kwa maelekezo kutoka upande fulani?
Naomba niwasilishe kutaka kuelezwa zaidi juu ya kilimo cha Korosho kwa Mkoa wa Pwani. Naomba mwenye kuelewa atufahamishe mimi na wengine gharama toka awali za kupanda mikorosho katika shamba la ekari 20. Gharama na takwimu hadi kuvuna na kiasi cha mavuno kwa mwaka.
Natanguliza shukrani zangu...
Habari zenu wanajamii forum, I hope all is well with you.
Nimechaguliwa shule ya Loleza iliyopo Mbeya kwenye tahasusi/combination ya PCB (yaani Physics, Chemistry and Biology) lakini kwa bahati mbaya au nzuri, nimeshindwa kwenda. Ningependa kusoma katika shule ya sekondari Dodoma kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.