TAARIFA KWA UMMA
KATIBU MKUU WA CCM ATOA MAELEKEZO MATATU MAHUSUSI KWA VIONGOZI NA WATENDAJI WA SERIKALI NCHINI
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Godfrey Chongolo, akiambatana na Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, akiwa katika ziara ya kukagua miradi na shughuli za...
Bila kuremba, Serikali itoe maelekezo ya matumzi ya dawa hii katika kutibu Corona kama iliyvogunduliwa kule Israel kuwa inatibu corona.
"That has been known since the start of the pandemic. But that has been wilfully ignored, otherwise, the vaccine could not get its emergency approva"l...
Wakuu, nawasalimu kwa Jina la Jamhuri.
Nimepita mitandaoni, nimeona jinsi watu wanavyomshambulia Mwigulu kuhusu tozo ya miamala. Naunga mkono mashambulizi, lakini nadhani tunakosea tunayemwelekezea mashambulizi hayo.
Wanasema kila zama na kitabu chake. Wakati wa enzi za Mwendazake, taifa...
Chama Cha Mapinduzi kimesema kinathamini, kinaheshimu na kuuunga mkono uhifadhi wa maliasili na uoto wa asili katika hifadhi za taifa, mapori ya akiba na misitu nchini.
Pamoja na hayo kimesema uhifadhi endelevu unahitaji ushirikishwaji mkubwa wa jamii na uzingatie mahitaji ya msingi ya...
Hivi kuna mwana JamiiForums aliyepigwa Bakora za 'Kishalubela' na kupewa Adhabu Kali kuanzia Shuleni na hadi Kitaani kama Mimi?
Ni kwanini Watoto wengi wa Kiafrika (hasa Kitanzania) tunakuzwa zaidi kwa Fimbo (Bakora) na Adhabu Kali ndipo tunanyooka na kuwa na 'Maadili' tofauti na Watoto wa...
Chama Cha Mapinduzi katika utaratibu wake kimetoa maelekezo kwa Wizara ya Fedha na Mipango kuelekea uwasilishaji wa Bajeti yake ya mwaka wa fedha 2021/2022 kwa kuzingatia kuwa Wizara ya Fedha na Mipango ndio kitovu cha mipango yetu ya maendeleo na pia, ndio wizara inayohusika na uwezeshaji wa...
Je, Polisi wanawaelimishaje Raia namna ya kutoa taarifa za kiuharifu haraka?
Jukumu la kwanza kabisa la polisi ni kulinda Raia na Mali zao. Na hiki ndicho kiapo wanachopewa.
Ujambazi, uporaji na ukabaji unapotukia hauhitaji kabisa kauli ya mwanasiasa yoyote ili polisi watekeleze wajibu wao...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
MSISITIZO NA MAELEKEZO YA CHAMA KWA SERIKALI KATIKA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI
SEKTA YA MIFUGO
Chama Cha Mapinduzi CCM kimetoa pongezi kwa Wizara ya kilimo na wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kupitisha makadirio na matumizi ya Wizara hiyo...
Kile kilichotokea Jumamosi ya tarehe 8 na kauacha sintofahamu mpaka mda huu idara husika zinazidi kuchanganya wapenda kabumbu kwani TFF wanadai ilipokea taarifa kutoka bodi ya ligi leo hii bodi ya ligi inadai TFF, tusubirie kikao cha leo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Dkt. Hassan Abbasi amesema agizo la kufungulia vyombo vya habari lililotolewa na Rais Samia Suluhu linahusu televisheni za mtandaoni pekee, na siyo pamoja magazeti. Amesema endapo kukiwa na maagizo mengine yanayohusu magazeti, atatekeleza. https://t.co/fdXzgvlz3l
DKT. NDUGULILE ATOA MAELEKEZO JUU YA KUBORESHA MIFUMO YA TEHAMA NCHINI
Na Faraja Mpina, WMTH, Dodoma
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Faustine Ndugulile ametoa maelekezo kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Zainab Chaula kuitisha kikao cha wadau wataalamu wa Mifumo ya TEHAMA...
Habarini wadau,
Ninahitaji kununua kontena la futi 20 hivi karibuni.ila sijui namna bora ya manunuzi ili niwe salama.maana nasikia kontena huwa linakuwa na Document na sijawahi kuiona hiyo Document.Naomba kujuzwa namna bora ya manunuzi ili nisijepigwa ndugu zanguni.
Nawasilisha.
Sikubaliani asilani na maelekezo aliyoyatoa kwa watendaji wake akizindua kituo cha mabasi huko nyumbani, Mbezi Louis lililopewa jina lake.
Kwanza Magufuli amesema Stendi hiyo ni ya Kimataifa (International Bus Stop) ambapo mabasi yatafika hapo na abiria kutoka mataifa mbalimbali.
Magufuli...
Picha zinajieleza.
Nimekuwa nikifikiria sana kuhusu viongozi wetu. Kwenye matukio mengi wameonekana nyuso zao zikiwa uchi kabisa. Hawana barakoa. Wakiongozwa na Rais mwenyewe,mawaziri na wakuu wengine taasisi mbalimbali za umma.
Najiuliza ni maelekezo ya serikali? Ni bahati mbaya? Ni kumuunga...
Mganga Mkuu wa Serikali Prof Abel Makubi amewataka watanzania kuchukua tahadhari dhidi ya magonjwa ya kuambukiza na yasiyoambukiza kadhalika wajikinge wenyewe na kuwakinga wengine.
Makubi amesisitiza kuwa hizi siyo nyakati za kusubiri matamko wakati unaona kabisa mbele kuna nyoka, jiongeze...
Naona Kama nchi Sasa inakopelekwa si kuzuri, kila Jambo analoona Waziri au kiongozi wa chama linakuwa sheria. Nimemsikia polepole na Waziri chanel ten wakitoa maelekezo kwa mabasi yote kukaa stand muda mrefu watu wale nakujisaidia.
Najiuliza Hawa watu wanajua hizo stand zina hadhi gani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.