maendeleo ya nchi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pfizer

    Shaka: Rais Samia pumzi mpya kwa maendeleo ya nchi

    RAIS SAMIA NI PUMZI MPYA YA MAENDELEO Shaka asema Kasi yake katika kutekeleza miradi ya maendeleo inatoa matumaini makubwa Amesisitiza kazi nzuri inayofanywa na serikali ya awamu ya sita huku akionya vitendo vya rushwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka...
  2. BARD AI

    Mzee wa Upako: Watanzania hawana ustashi kuchangia maendeleo ya nchi yao

    Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) nchini Tanzania, Anthony Lusekelo ‘Mzee wa Upako’ ameonyesha sura mbili katika sakata la tozo za miamala ya kielektroniki. Amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imeonyesha usikivu kwa umma baada ya kupungua na kufuta...
  3. L

    Maeneo maalum ya Uchumi yanayoungwa mkono na China barani Afrika yahimiza maendeleo ya Nchi za Afrika

    Na Fadhili Mpunji Moja kati ya mambo ambayo China iliyataja mwanzoni wakati wa kuanzishwa kwa baraza la ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC, ni kuanzisha maeneo maalum ya uchumi (Special economic zones- SEZs) ili kuhimiza uzalishaji wa bidhaa za viwanda, na kuzisafirisha katika masoko ya...
  4. politicians

    SoC02 Chuki, ubinafsi na unafiki, ndio vinachelewesha maendeleo ya nchi yetu

    Utangulizi:nchi yetu ina utajiri mkubwa wa rasilimali lakini ina umaskini wa maendeleo, watu wengi wanajiuliza swali kwa nini? Sababu zipo nyingi ila tatizo kubwa ni fikra na mitazamo ya kimaskini iliyopo kwa wananchi walio wengi inayosababisha vitu hivi (chuki,ubinafsi na unafiki) ambavyo...
  5. Rashda Zunde

    Dodoso za sensa, shiriki kikamilifu kwa maendeleo ya nchi yetu

    Ndugu zangu naomba niwataarifu kuwa Sensa ya Watu na Makazi 2022 itahusisha madodoso manne: 1: Dodoso la Jamii 2: Dodoso la Sensa ya Watu na Makazi 3: Dodoso la Makundi Maalum 4: Dodoso la Majengo 1. Dodoso la Jamii litaanza kwa kumuhoji mwenyekiti au mjumbe wa kitongoji au mtaa juu ya uwepo wa...
  6. J

    SoC02 Afya za watanzania ni rafiki kwa maendeleo ya nchi?

    Ndugu zangu nawasalimu kwa lugha adhimu kabisa ya kiswahili...... Najua wengi wetu hususani vijana wenzangu kila mara tunapoianza siku mpya kwetu ni kama kuingia vitani kupambania ukombozi wa taifa letu, haijalishi umeajiriwa au umejiajiri. Mtu yoyote anayejihughulisha na shughuli halali ni...
  7. K

    Tatizo kubwa la wamaasai ni mchango wao Mdogo kwenye maendeleo ya nchi

    Kabila la wamassai wanajulikana zaidi kwa migogoro kuliko maendeleo. 1. Monduli ni jagwa leo kwasababu ya wamaasai 2. Migogoro ya wafugaji na wakulima kutoka Morogoro mpaka Lindi ni wamasai 3. Hawapendi kuendeleza watoto wao 4. Hawalipi kodi zozote za maana 5. Hawafuati ushauri mfano ufugaji...
  8. The Sheriff

    Kunyimwa Uhuru wa Kujieleza ni kunyimwa Haki ya msingi ya ushiriki katika maendeleo ya nchi yako

    Wakati viongozi wakitazamia kusimika mabavu yao, kwa kawaida huwa wanashambulia haki zetu za uhuru wa kujieleza kwanza. Tumeona mchezo huu mara nyingi. Kwanza wanashambulia vyombo vya habari, kisha taasisi za kidemokrasia, na kisha, taratibu, wanachukua uhuru wetu. Namna ambayo serikali...
  9. Red Giant

    Rushwa haina madhara yoyote ya maana kwa maendeleo ya nchi

    Tunapiga vita rushwa hadi tumeiundia taasisi. Na wengine wanasema nchi za Africa haziendelei sababu ya rushwa. Hili suala limefanyiwa utafiti na limeonekana halina ukweli. Imeonekana kuwa mtu anapokula rushwa na kuwekeza kwenye uchumi huo huo kunakuwa hakuna madhara yoyote ya maana kwenye...
  10. beth

    Rais Chakwera: Wananchi msiwalalamikie Wanasiasa, wajibikeni kwenye suala la maendeleo ya Nchi

    Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera amewaomba Wananchi kuwajibika linapokuja suala la Maendeleo ya Taifa, badala ya kupeleka madai hayo kwa Wanasiasa Amesema anapokea mamia ya SMS kwenye simu yake kutoka kwa Watu wanaomtaka awasaidie kulea Familia kwasababu tu yeye ni Rais "Lazima tujitibu na...
  11. Miss Zomboko

    Ludovic Uttoh: Kama Kodi ni kwa maendeleo ya Nchi kwanini Wabunge hawakatwi wakati nao wanalipwa Mshahara kama wengine?

    CAG Mstaafu, Ludovic Uttoh amesema hakuna sababu za kwanini Wabunge wa #Tanzania hawalipi Kodi licha ya kwamba wana Mishahara kama walivyo Watumishi wengine wanaokatwa Kodi. Uttoh amesema "Siku zote msingi wa Kodi ni Usawa na wala kodi haitakiwi kuwa na Matabaka. Ikiwa tunasema tunalipa Kodi...
Back
Top Bottom