maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. Z

    Pre GE2025 Hivi maendeleo huwa yanaletwa na Chama /Serikali?

    Mimi nafikiri maendeleo hayaletwi na chama au serikali bali na wananchi wenyewe kwa kufanya kazi kwa bidii na kwa kulipa kodi na kwa kuchagua viongozi sahihi ambao siyo mafisadi bali wacha mungu ambao watawaongoza wananchi kupata maendeleo yao na kwa kusimamia kikamilifu rasilimali za nchi...
  2. Mbunge Mpembenwe: Jimbo la Kibiti Mpaka Juni 2023 Lilipokea Bilioni 31 za Miradi ya Maendeleo Kutoka kwa Rais Samia

    MBUNGE MPEMBENWE: JIMBO LA KIBITI LILIPOKEA BILIONI 31 ZA MIRADI YA MAENDELEO KUTOKA KWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN "Katika Jimbo la Kibiti, Rais Samia Suluhu Hassan ametupatia fedha nyingi za maendeleo. Juni 2023 nilisoma utekelezaji wa Ilani, tulipewa Shilingi 31,634,560,924.43. Sekta ya Elimu...
  3. Raia 10,000, wataalamu 140

    Israel ni taifa lenye maendeleo makubwa na uchumi mkubwa as per capita income kuliko mataifa yote middle East Ni taifa tena lenye technologia kubwa pale middle East Ni taifa lililopiga hatua kubwa Sana kwenye technologia ya kilimo, anga za juu, uchakaji wa madini, utaalamu wa mambo ya computer...
  4. USHETU: Kamati ya Siasa Yaridhishwa na Kasi ya Maendeleo Ushetu

    USHETU: Kamati ya Siasa Yaridhishwa na Kasi ya Maendeleo Ushetu Wananchi katika Halmashauri ya Ushetu Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga wahaswa kuendelea kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt .Samia Suluhu Hassan pamoja na Chama cha Mapiduzi CCM katika kuleta maendeleo ya...
  5. Kwanini Africa ukifikisha 35, 45, 55, tunasema ni mzee?

    Obama alianza uraisi akiwa 48 yrs na tulimuuita kijana. Elon Musk ana 53, tajiri mkubwa namba moja duniani, tunamuuita kijana Mark Zuckerberg ana 39, tajiri mkubwa tunamuita kijana Kwanini Africa ukifikisha 35, 45, 55, tunasema ni mzee? Nataka, kutoa somo moja Leo. Chanzo kingine cha Africa...
  6. Ukweli usiopingika: Miaka 47 tangu CCM izaliwe lakini haijatendea haki watanzania kwa kuleta maendeleo stahiki.

    Angalia maziwa ,mito na vyanzo vya maji vinavyopatikana hapa nchini. Alafu kuna watanzania wanakosa maji safi salama ya kunywa. Kodi na vyanzo kibao vya mapato vipo. Angalia madini kama Tanzanite, almas na hata ruby pia Alexandrite. Madini haya yanatosha kabisa kuwa chanzo cha mapato kwa taifa...
  7. G

    Waafrika tunashindana wenyewe, tunaogopa maendeleo ya mwafrika mwengine, tunaridhika tukiwa juu ya mwafrika mwenzetu bila ari ya kushindana kimataifa.

    Ubinafsi umekuwa ni tatizo kubwa sana kwetu Africa kuzidi umoja wa uafrika wetu hasa katika Loyalty ya ukabila / ukoo / mru binafsi, Mwafrika yupo tayari kumnyima nafasi mwafrika mwenye uwezo kwa sababu za ubinafsi aidha hayupo kwenye kabila / ukoo wake, anahofia akimpa atamzidi maendeleo...
  8. Anaye kwamisha nchi kukosa maendeleo ni ccm au mpinzani

    Tokea tupate uhuru hakuna hata chama pinzani kilicho shikilia nafasi yoyote kama raisi,waziri mkuu wala waziri yoyote mwenye dhamana. tuna fahamu kila raisi anayetoka ni wa ccm lakini kila anayekuja kubeba nafasi hiyo uonesha mwenzake aliyetoka alishindwa au kasoro fulani huku akisindikizwa na...
  9. TANZIA Mwana-JamiiForums, Thadei Ole Mushi afariki dunia

    MwanaCCM na MwanaJF Thadei Ole Mushi amefariki dunia. Ole Mushi alikuwa anaugua kwa muda mrefu. Thadei amefariki duniani asubuhi hii katika hospitali ya moyo JKCI, Muhimbili. Mwenyezi Mungu ampumzishe mahali pema peponi na atupe nguvu na faraja. Zaidi soma Ole Mushi ni mgonjwa sana...
  10. Mwenyekiti Serikali ya Mtaa, Diwani, Mbunge na Rais wote CCM; vipi maendeleo mtaani kwako unayaona?

    Katika historia ya vyama vingi nchini, uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019 na uchauzi mkuu wa 2020 ulighubikwa na sintofahamu nyingi na kupelekea vyama vya upinzani kukosa uwakilishi wa kutosha ngazi ya Serikali za Mitaa na Bungeni. Wote tulishuhudia wagombea wengi wa vyama pinzani wakienguliwa...
  11. Mnapata wapi ujasiri na akili ya kulinganisha maendeleo yaliyoletwa kupitia CCM kulinganisha na nchi za Ulaya?

    Akili ni nywele kila mtu anazake ila wingi wa nywele haimaanishi kuwa unaakili nyingi au kubwa dhidi ya wenzako,mimi Muhafidhina nimeona nyuzi zenye hoja nyingi zisizo mashiko kwa baadhi ya member wa humu kuishutumu serikali yao ya CCM kuwa haijafanya lolote na hata napojaribu kuangalia mitandao...
  12. B

    Pre GE2025 Rais Hussein Mwinyi tunakutaka utuletee Maendeleo Bara kama unavyofanya Zanzibar

    Wakati Rais Hussein Mwinyi anaingia madaralani, uchumi wa Zanzibar ulikuwa kunakuwa kwa asilimia zisizozidi 5. Lakini ndani ya kipindi cha miaka 3 tu uchumi wa Zanzibar leo unakua kwa asilimia 6.8 huku wa bara ulikuwa unakua kwa asilimia 7 kabla ya kifo cha Rais Hayati JPM tena katikati ya...
  13. B

    Sera ya maendeleo ya vitu, imesababisha uwepo wa miundo mbinu ya maandamano

    JAKAYA KIKWETE MUASISI WA JIJI JIPYA LA DAR ES SALAAM LENYE MIUNDO-MBINU YA KISASA Awamu ya nne chini ya rais Jakaya Kikwete kwa nia safi isiyo ya kidikteta iliasisi ujenzi wa barabara pana za kisasa na za njia nne hadi nane ni mradi wa maendeleao ya vitu ambayo sasa inatumika kuibana CCM...
  14. Jumbe za dira ya maendeleo, je umechangia nini? Ni kweli mawazo yetu yatazingatiwa au wanapoteza muda wetu?

    Nimepokea sms takriban 8 kwa wiki hii kujulishwa kuhusu dira ya taifa ya maendeleo itayodumu mpaka 2050 kupitia kifaa changu cha mkononi ila nimeshindwa kuwajibu kwa sababu kuu mbili simu inaji-cancel before sijamaliza kujibu na sababu nyingine uchangiaji upo very limited siwezi kuchangia kwa...
  15. Ukimpata Kiongozi Mwaminifu Maendeleo ni Kazi Rahisi Sana: Mbunge wa Mbogwe, Maganga

    UKIMPATA KIONGOZI AMBAYE NI MWAMINIFU KATIKA MAJUKUMU YAKE MAENDELEO NI KAZI RAHISI SANA: MHE. NICODEMAS HENRY MAGANGA, MBUNGE WA JIMBO LA MBOGWE MKOANI GEITA "Mwanzoni kulikuwa na watu siyo waaminifu, wakipewa leseni za uchimbaji Madini walikuwa wanawafukuza kama wanyama. Mimi nilikuwa na upeo...
  16. Ufugaji kwa Maendeleo

    Nawa salimuni kwa jina la Mungu. Ndugu wafugaji na wakulima Mwaka 2024 huu Mungu ametujaalia kuwa salama tena na kutubarikia kwa kila hitaji letu na familia zetu, tunawapa pole wale wote waliokutwa na majanga ya tabia nchi na masumbuko mbali mbali Mungu awape faraja ktk kipindi hicho kigumu...
  17. B

    Kila anayetetea Haki, Amani, Umoja na Maendeleo Automatically anaungana na Chadema hata kama sio Mwanasiasa

    Ndugu zangu habari za leo. Imefahamika hivi sasa kila anayetetea haki na amani ndani ya Nchi hii anaonekana kwenye jamii kama vile ni Mwana chadema. Hii inatokana na Chama hicho kuwa na misingi ya kuunganisha watu wote wenye mapenzi mema na Nchi hii. Misingi hiyo imejengwa kwenye Haki...
  18. Congo DR imetulia lakini bado haina maendeleo

    DRC kwa kikubwa imetulia. Vita IPO sehemu chache sana lakini bado hakuna dalili za maendeleo. Pamoja na utajili mkubwa wa rasilimali madini, ardhi, maji, DRC bado wanaogelea kwenye umaskini wa kutisha. Watu wengi wanahisi DRC kuna Vita. Jibu ni hapana. Maeneo mengi DRC kumetulia kuanzia...
  19. Mwaka 2024 mwenye taarifa za miradi ya maendeleo Tanzania tukutane hapa!

    Wakuu, happy new year 2024. Wenye taarifa za miradi ifuatayo tukutane tujadiliane: 1. Uwanja wa ndege wa Msalato 2. Ujenzi wa barabara ya mwendokasi kuelekea uwanja wa ndege wa Dar 3. Ujenzi wa chuo kikuu Butiama 4. Ujenzi wa barabara Kwa kiwango cha lami kutoka SikongeTabora hadi Makongorosi...
  20. R

    Godbless Lema: Mkwamo wa maendeleo Tanzania hauletwi na Mungu wala Shetani; Unaletwa na CCM

    Godbless Lema ameeleza kuwa, umaskini wa Tanzania auletwi na Mungu wala Shetani bali Unaletwa na CCM. Katika kauli hii imepiga marufuku wote wanaoombe maendeleo ya nchi na wale wanaomkemea shetani akiwataka Watanzania kupambana na tatizo badala ya kumkabidhi Mungu na Shetani yasiyo wahusu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…