Yani ukiwa handsome, kwanza watu hawakuzanii vitu vya ajabu kama wizi, kukipotea kitu anaangaliwa mtu mwenye sura ngumu ndo anadhaniwa ni mwizi.
Pia tunapata favor maeneo mengi, yani hata kazini unakubalika sana, kuna wadada hadi wanakwambia uwape mbegu.
Nashauri vijana kuzingatia mama au baba...