Naomba kujua kiundani kisiwa Cha Mafia.
Kuna mdogo wangu amepata kazi uko, naomba kujua Hali ya hewa ya hicho kisiwa, huduma za kijamii Kama hospitali na Shule, na Upatikanaji wa Banks, etc.
Vipi gharama za maisha zikoje? Na je lazima mtu kupanda boti akiwa anaenda kazini?
Je mitandao ya simu...
MASHINDANO YA KIPANGA CUP YAHITIMISHWA WILAYANI MAFIA
▫️Timu ya Big Time yaibuka kidedea
▫️Yatoka na zawadi ya Bajaji
Mafia, PWANI
Mashindano ya mpira wa miguu ya Kipanga Cup yamefikia tamati Machi 27, 2022 kwa timu ya Big Time, kuibuka mshindi wa goli moja kwa sifuri dhidi ya timu ya Stone...
Habari zenu wakuu, rafiki yangu wa mafia ananiambia hivi.
Mimi nimezaliwa na kukulia kisiwani mafia, shuleni kwetu tangia naanza darasa la awali mpaka namaliza darasa la saba, hapakuwahi kuwa na mwanafunzi mkristo, sote tuliwa wa imani ya uislamu. Aliwahi kuja mwalimu mmoja wa imani ya ukristo...
Jumla ya watu sita wamezama mmoja ameokolewa na boti ya dagaa, maboti ya fery ila watano waliobaki wameshaokotwa wawili wakiwa maiti na wamezikwa Somanga, waliobaki utafutaji unaendelea.
Mkija kutembea mtatuingizia chochote kwenye wilaya yetu ukinunua chochote unakuwa umesaidia katika kukuza uchumi na pia hata ikiwa sio Mimi basi itakuwa kwa mwenye duka karibuni kutalii Mafia atakae na aje ukiwa MTU wa amani
[
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.