Mwili kikawaida huwa una njianzake pekee za kujilinda dhidi ya vitu mbalimbali(defense mechamism).
Mtu akipaliwa na punje ya wali atakohoa na hakuna anayezuia kwamba usikohoe kwa sababu kukohoa ni njianya mwili kujilinda na baada ya hapo mtu anapata afadhali.
Sasa kwenye mafua, yale mafua ni...
Wakuu poleni nyote na majukumu ya leo, msaada naombeni Kuna ndugu yangu anamafua ya muda mrefu yapata Kama mwaka, alienda hospital akapatiwa dawa za allergy au mzio lakini Bado ,yani pua zinamziba sometimes anashindwa hata kuhema vizuri msaada wakuu nafanyaje hapa Sasa .
Kumekuwa na ongezeko la homa kali za mafua zinazowakumba wananchi wengi katika maeneo mbalimbali ya Tanzania. Wananchi wanaonekana kuwa na wasiwasi juu ya kasi ya kusambaa kwa ugonjwa huu, lakini wanahoji ukimya wa mamlaka husika kuhusu hatua zinazochukuliwa kukabiliana na hali hii.
Je...
Wizara ya Afya imesema kuna ongezeko la virusi wanaosababisha homa kali ya mafua inayoambukiza maarufu influenza, waliyotaja kusababishwa na mabadiliko ya hali ya hewa.
Homa hiyo ambayo husababisha ugonjwa wa vifua inaongezeka katika baadhi ya maeneo nchini, huku wataalamu wa afya wakitoa...
Habari!
Poleni kwa majukumu ya kutwa nzima.
Kama kichwa kinavyojieleza, natafuta tiba ya mafua kwa mtoto mchanga. Mtoto ana umri wa miezi miwili. Anasumbuliwa na mafua toka kuzaliwa.
Amepata tiba mbali mbali za hospitali bila nafuu.
Je, wenzangu mliopitia hapa mlifanyaje?
Natanguliza shukrani!
Anaitwa Beka flavor zao la yamoto band walimokuwemo Mboso, Aslay na wengineo.
Kijana anauwezo mkubwa sana wa kuimba japo mafanikio aliyonayo kimziki hayalingani na kazi kubwa anayoifanya, nimepewa lift na Mwana naisikilza Ngoma yake ya NAKUPENDA hakika ni nzuri mno.
Dogo mziki unaujua hongera...
Jamanii, mwenzenu nina naelekea kumaliza mwaka sasa nasumbuliwa na Mafua MAZITO hadi yanaziba pua!
Hospital naambiwa ni Allergy nijaribu kugundua kinachonikataa yaani nimeshindwa kujua kabsaa, usiku nalala nimekenua napumua kwa mdomo maana pua zinaziba, na yanatoka makamasi MAZITO.
Nimetumiwa...
Wakuu poleni na swaumu (kwaresima na mfungo wa ramadhani).
Tangu nikiwa mdogo napata hiyo shida ya kuziba kwa masikio pindi ninapo fanya usafi wa kutoa bugudha ya mafua.
Kwa anaye jua huu uhusiano kwamba unapo penga hizi mucus za pua tufanyeje ili masikio yasilete tabu mana hapa sikio moja...
Mimi nikiamka jua likitoka nakua mzima had jion giza likiingia naanza kuumwa mafua usiku mzima kias hadi natumia mdomo kupata pumzi.
Hii Hali Ina mwaka huu wa 3
Mchana mzima kabisa,
Pia naomba kuuliza je feni inaweza sababisha niumwe?
Maana nalala na feni kila siku
Je kuugua Mafua na kikohozi kwa muda mrefu Mara kwa Mara huweza kusababisha kuziba kwa baadhi ya mishipa na kusababisha mtu kupata tatizo la kutosikia vizuri?
Kuna mafua makali yameongezeka hasa ukanda huu wa Pwani.
Nina uhakika wizara ya afya ina takwimu za kutosha. Tuambieni what is going on.
Enzi zile tungesema Corona.
Wizara ya Afya Tanzania
Msimu wa mafua:
Mafua ni ugonjwa wa tropics in most cases. Tunawalaumu wazungu kwa kila underdevelopment tuliyo nayo. Sasa ni miaka zaidi ya 60 tangu nchi nyingi za kiafrika zipate uhuru wake. Tunashindwaje kugundua dawa ya mafua ambayo yanasumbua sana wananchi wetu?
===========
A cold is a...
Hii ni dawa ya Asili(dawa ya kienyeji)
Mtoto mchanga kama ana mafua au amevuta maji wakati wa kujifungua hivyo akashindwa kupumua.
Fanya kitu kimoja:
Tafuta kondoo, mshikilie huyo kisha mpandishe mtoto huyo ukiwa umemshikilia mtoto
Kisha mtembeze huyo kondoo kidogo tu huku umeshikilia mtoto...
Yaan hata kupika nimeshindwa....mambo siyo mambo... Kichwa kinauma,naona Kuna dalili ya kikohozi.....wanaosema Bora uumwe mafua kuliko Nini sijui....ndugu yangu yanakuwa hayajakukamata aisee.🤧🥵
Hivi mafua Lazima huambukizwe? Au huwa yanakuja tu automatically? Simaanishi namhisi mtu,nauliza tu🙆
Mie Jidduz, mutu ya watu yamenikuta.
Toka majuzi nimepata mafua ya kutisha. Pua zinawasha na kamasi inatoka utafikiri bomba linavuja.
Macho yanauma, ni mekundu na mchozi ni muda wote. Juzi na kahoma kaanza na kukohoa kohoa na mbavu kubana.
Hili ni balaa. Nimekula antibiotics na kujifukiza na...
Kwema Wakuu!
Poleni na Misiba na Kwa wale wanaofurahia niwape pongezi. Ndio Maisha hayo. Sio lazima Msiba wako uwe Msiba WA Watu wote, wengine kwao inaweza kuwa ni sherehe.
Msimu tunaoelekea ni msimu wa baridi, masika ndio imemalizika hivyoo! Kikawaida baridi ni mwezi wa sita na wasaba lakini...
Wakuu, sijui kama mmegundua, kuna kaupepo ka Homa za ajabu ajabu kanaendelea mitaani na watu wanaumwa sio kidogo wengine wanadai hadi kupoteza ndugu wanaowajua kutokana na homa hizi lakini cha ajabu hakuna taarifa rasmi ya Serikali hata kutahadharisha tu.
Aisee tuchukue tahadhari wenyewe kabla...
Wakuu habari zenu, nimepata katoto kwa uwezo wa Mungu ila namuona anapiga chafya sana.
Nimeambiwa kuwa ndivyo inavyotakiwa apige chafya ila nahofia mwanangu aaije akapata mafua itamsumbua kunyonya, umri wake bado mdogo hata wiki hana, sasa kuna mtu alisema ili kumkinga mtoto dhidi ya mafua...
Baadhi ya watu hushauri matumizi ya pombe kali ili kutibu mafua na kikohozi. Madai yao yamebeba nadharia nyingi zinazohitaji uthibitisho wa kisayansi ili kuondoa sintohamu kubwa iliyopo.
Ikumbukwe pia pombe ni mojawapo ya viambato vinavyotumika kwenye kutengeneza baadhi ya dawa za kutibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.