mafua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zekoddo

    Nasumbuliwa na Mafua, Naomba dawa za Asili na Kisasa zinazosaidia

    Wadau,, me kijana wenu hapa nimekuwa Susceptible sana na hii homa ya Mafua,,, kwa experience yangu Sasa siwezi maliza miezi miwili bila Mafua na yakinishika Huwa yananishika kweli.. Yaan inafikia kipindi nikiwa safe namuogopa sana mtu anayeumwa Mafua maana nikimkaribia tu sichelewi kuyazoa. So...
  2. BARD AI

    Unaujua ugonjwa wa Mafua ya Nyanya ulioanza kuivuruga tena dunia?

    Wakati dunia ikiwa bado na makovu ya ugonjwa wa Covid_19 ulioishambulia na kuua watu milioni 6.4, na ule wa MonkeyPox ulioua karibu watu 100 Afrika mwaka huu, kumeibuka homa ya mafua ya nyanya. Kumeripotiwa kuweko kwa visa vipya nchini India na kuanza kuibua hofu ya kuenea katika maeneo mengine...
  3. Gama

    Mafua ya ndege yatikisa kisiwa cha Farne Islands - UK

    Mlipuko wa ugonjwa wa Mafua ya ndege uliotokea uingereza umeelezwa kuwa unahatarisha ustawi wa maelfu ya ndege wanaoishi katika kisiwa cha FARNE ambacho ni kisiwa muhimu kwa utalii. Kisiwa hiki ni makazi ya aina mbalimbali za ndege pori. MY TAKE: Kwakuwa baadhi ya ndege husafiri maili nyingi ni...
  4. B

    Mtoto ana Umri wa Wiki Moja na ana Mafua makali Msaada

    Habari, Mtoto wa Umri wa Wiki Moja ana Mafua makali na anakohoa mara mojamoja... Naomba Ushauri wa kitaalam na namna ya kumsaidia kupata na dawa. Asante
  5. Lastmost

    Dawa ya mafua ya kuku

    Wakuu habari za muda huu, naomba kama kuna mtu anajua dawa ya kuwapa kuku wenye mafua. Wanakohoa na kusinzia. Natamani kujua dawa yoyote,hata kama ni za miti. Ni kuku wa kienyeji. Natanguliza shukrani
  6. BigTall

    Serikali: Kuna ongezeko la watu wenye homa, kukohoa, mafua, maumivu ya mwili

    Wizara ya Afya imebaini ongezeko la watu wenye dalili za homa, kukohoa, mafua, kubanwa kifua & maumivu ya mwili kuanzia Desemba 2021 hadi Machi 25, 2022, hali ambayo imekuwa ikitokea kwa miaka mitatu mfululizo. Wote wenye dalili hizo wametakiwa kwenda vituo vya afya kwa matibabu.
  7. ndege JOHN

    Mafua yanayosababisha maumivu ya mwili: Hali ipoje huko kwenu?

    Aisee haya mafua ya siku hizi kwani je? Leo nimeamka staff wenzangu wote na majirani zangu wanaumwa mafua sio mafua kuchoka sana na viungo kuuma. Hali ipoje kwa huko kwenu?
  8. Dam55

    #COVID19 Waziri wa afya wa Uingereza: Corona ni kama mafua tu tutaishi nayo milele

    Waziri wa Afya wa Uingereza @sajidjavid amesema kuwa corona inaweza kuwepo milele hivyo inatubidi tuanze kuiona kama mafua na kujifunza kuishi nayo. Aidha Javid amesema "inasikitisha lakini ni ukweli kuwa kuna miaka mingine huwa tunakumbwa na wimbi la mafua makali sana nayo huwa yanaua watu...
  9. comte

    #COVID19 Ulaya inaelekea kushusha hadhi ya Omicron Corona kutoka janga kuwa ugonjwa ambao tujifunze kuishi nao

    LONDON — In Britain, France, Spain and other countries across Europe, politicians and some public health experts are pushing a new approach to the coronavirus pandemic borne of both boldness and resignation: that the illness is becoming a fixture of daily life. Governments are seizing a moment...
  10. Analogia Malenga

    #COVID19 RT imeripoti kuwa vifo vya mafua ni vingi kuliko vifo vya COVID19

    Moja kati ya sehemu ambayo napenda kuisoma ni RT ambao wamekuwa wakiripoti vitu kwa uhuru wote, hadi sasa ni wao ambao wanaripoti kuhusu maandamano yanayoendelea nchi za Ulaya ya watu ambao hawataki chanjo. Maandamano ambayo hautayasikia kwenye vyombo vyetu Leo kupitia channel yao ya telegram...
  11. B

    Tuelezane Ukweli Mficha Ugonjwa Kifo Humfichua

    Kumekuwapo na wimbi la Mafua yenye kuambatana na homa kali, maumivu ya mwili, kikohozi, kupoteza hamu ya kula, nk yasiyokuwa ya kawaida. Zaidi sana leo hadi mechi ya wekundu wa Msimbazi na Kagera Sugar kule Kaitaba, imebidi kuahirishwa. Kisa na mkasa ugonjwa huu uliowang'ang'ania ghafla wengi...
  12. Cannabis

    Inasemekana Azam na Yanga nazo zina wagonjwa wa "mafua makali"

    Habari zinazozunguka mtandaoni kwa sasa zinasema kuwa klabu ya Yanga na Azam zina wagonjwa wa mafua makali na homa ambapo zinaweza kupelekea wachezaji hao kukosa mechi za ligi kuu zinazowakabili. Kocha wa Yanga,Nasreddine Nabi amesema kuwa kuna wachezaji wagonjwa klabuni hapo kuelekea mchezo...
  13. Analogia Malenga

    Wizara ya Afya: Hali iliyopo ni mafua ya kawaida

    Wizara ya Afya imesema watu wengi wamekuwa wakiripoti kuwa na dalili za mafua na homa kwa siku za karibuni Wizara imesema uchunguzi umebaini hayo ni mafua ya kawaida ya kila mwaka yanayosababisha na vipindi vya hali ya hewa Wananchi wameshauriwa kufika vituo vya afya kwa matibabu sahihi, ikiwa...
  14. GENTAMYCINE

    Tusiougua Mafua, Homa na Vifua Kipindi hiki ni Sisi tu 'tuliobarikiwa' Damu ya Group O+, hivyo tujuane ili 'tumshukuru' Mwenyezi Mungu

    Pamoja na huu Unyonge ( Umasikini ) wangu mkubwa na wa Kutukuka nilionao GENTAMYCINE kitu pekee ambacho namshukuru Mwenyezi Mungu ( Allah ) ni Kwanza Kunilinda Kiafya kwa Kutougua hovyo na Kubwa zaidi 'Kunibariki' na Damu ya Group O+ ambayo ni Kinga tosha Kwangu ( Kwetu ) katika kupata...
  15. byakunu

    Dar: Kuna Tatizo la watu Homa na Mafua, Wizara ya Afya ipo kimyaa..

    Takribani kwa muda wa wiki moja tangu tarehe 10 Desemba 2021, kumekuwa na wimbi kubwa sana la watu wakaazi wa Dar es Salaam, wamekumbwa na hali ya homa sambamba na kupata mafua na kikohozi, kila mtu analalamika kwa namna yake, Mimi juzi nimekumbwa na hii homa nikahisi nina malaria ila ni...
  16. 3 Angels message

    Mamlaka husika ichunguze uthabiti wa chanjo ya kuku ya Tatu Moja

    Wasalaam wakuu, Kwa sisi wafugaji hasa wa kuku hivi karibuni tulipata afuheni ya chanjo mara baada ya kuingia sokoni kwa chanjo ya kuku ya tatu moja ambayo kwa maelezo inatoa kinga kwa magonjwa matatu Newcastle, mafua na ndui ambayo hapo awali ilihitajika uingie gharama kununua chanjo hizo...
  17. M

    Mwanangu anasumbuliwa na mafua yasiyotoka njia za puani (ana mwezi mmoja tu)

    Habari ndugu wapendwa katika imani! natumai mmeamka salama na mpo kwenye majukumu ya kila siku. naomba nielekee kwanye hoja au maombi ya kimawazo, ushauri au tiba kwa aliyekutwa na hili tatizo na kufanikiwa kulimaliza kwa namna yoyote. Mtoto wangu tatizo la kufura kwa mafua yasiyoka puani...
  18. Roving Journalist

    #COVID19 Chanjo za Kupambana na Corona (COVID-19): Nini Maoni na Mtazamo wako?

    Je, COVID-19 ni nini? COVID-19 ni maambukizi yanayosababishwa na virusi vya Corona, virusi hivi ni sawa sawa na vile vinavyosababisha mafua ya kawaida tofauti na mafua, virusi vya corona vinaweza kuambukiza mwingine kabla hata ya huyo mtu hajaanza kuonesha dalili. Tofauti ni kwamba, watu wenye...
  19. Mumlii

    Centrizen inatuliza mafua ama sielewi

    Habari za jioni, nina mafua nmekunywa centrizen ila bado yapo sjui n za kutuliza ama la, hli wimbi la 3 n shida? Msaada tofauti na tangawizi + limao . ntumie nn mafua yaishe
  20. Tembosa

    Tatizo la kupoteza uwezo wa kunusa (Kutosikia harufu): Fahamu chanzo na namna ya kutibu tatizo hili

    Mimi nina takribani siku 6 sasa, sijui harufu ya kitu chochote wala sisikii taste ya chochote. Siumwi homa, wala mafua. Hii ilitokea gafla tu baada ya kumeza Alu (mseto). Kuna wenzangu humu? Baadhi ya Maoni yaliyotolewa Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom