mafua makali

  1. Mtoa Taarifa

    Kuna Homa za Mafua Makali zinasambaa kwa Kasi Mitaani, Mamlaka mbona hazitoi taarifa kuhusu hili?

    Kumekuwa na ongezeko la homa kali za mafua zinazowakumba wananchi wengi katika maeneo mbalimbali ya Tanzania. Wananchi wanaonekana kuwa na wasiwasi juu ya kasi ya kusambaa kwa ugonjwa huu, lakini wanahoji ukimya wa mamlaka husika kuhusu hatua zinazochukuliwa kukabiliana na hali hii. Je...
  2. co fm

    Hali ya hewa Juni na mafua

    Habari wakuu, kwa wale wakazi wa Dar es Salaam kuna kihali cha mafua na kikohozi watu wengi naona wanavyo na kwangu mimi naona week hii ya pili inaenda hali ipo vile vile… Waliopatwa na hii hali njoo tafadhali tushare experience.
  3. Jidu La Mabambasi

    Nimepata mafua makali, homa na udhaifu wa mwili - je, ni corona?

    Mie Jidduz, mutu ya watu yamenikuta. Toka majuzi nimepata mafua ya kutisha. Pua zinawasha na kamasi inatoka utafikiri bomba linavuja. Macho yanauma, ni mekundu na mchozi ni muda wote. Juzi na kahoma kaanza na kukohoa kohoa na mbavu kubana. Hili ni balaa. Nimekula antibiotics na kujifukiza na...
  4. B

    Mtoto ana Umri wa Wiki Moja na ana Mafua makali Msaada

    Habari, Mtoto wa Umri wa Wiki Moja ana Mafua makali na anakohoa mara mojamoja... Naomba Ushauri wa kitaalam na namna ya kumsaidia kupata na dawa. Asante
  5. B

    Tuelezane Ukweli Mficha Ugonjwa Kifo Humfichua

    Kumekuwapo na wimbi la Mafua yenye kuambatana na homa kali, maumivu ya mwili, kikohozi, kupoteza hamu ya kula, nk yasiyokuwa ya kawaida. Zaidi sana leo hadi mechi ya wekundu wa Msimbazi na Kagera Sugar kule Kaitaba, imebidi kuahirishwa. Kisa na mkasa ugonjwa huu uliowang'ang'ania ghafla wengi...
  6. Cannabis

    Inasemekana Azam na Yanga nazo zina wagonjwa wa "mafua makali"

    Habari zinazozunguka mtandaoni kwa sasa zinasema kuwa klabu ya Yanga na Azam zina wagonjwa wa mafua makali na homa ambapo zinaweza kupelekea wachezaji hao kukosa mechi za ligi kuu zinazowakabili. Kocha wa Yanga,Nasreddine Nabi amesema kuwa kuna wachezaji wagonjwa klabuni hapo kuelekea mchezo...
  7. Mshuza2

    Kifua kubana, Koo kuwasha na mafua makali. Hali ikoje mahali ulipo

    Wakuu, kwa takriban siku nne nasumbuliwa na mafua makali na koo kuwasha,siku ya leo nilienda hospitali kupata matibabu lakini nimestaajabu kukuta watu wengi wakilalamikia hali hiyo. Je hali ikoje mahali uliko..ni ule mzigo au ni mawazo yetu tu?
Back
Top Bottom