Imetokea Jana Kinondoni.
Picha linaanza wiki moja iliyo pita jamaa alienda kuweka simu zake mbili ( Smart phones) kwenye kibanda cha mchajisha simu, kisha akaenda zake pale Garden ( Mkwajuni) kutazama ndondo.
Simu alizipeleka saa Tisa, anacheki mechi ya ndondo inaisha anapita Masjid kisha...