Mafundi simu nawahitaji sana!!!. simu yangu ya pixel 5A na Jana ikafa machine

Mafundi simu nawahitaji sana!!!. simu yangu ya pixel 5A na Jana ikafa machine

Mpambanaji17

Senior Member
Joined
Feb 18, 2024
Posts
100
Reaction score
181
Habari ndugu Wana JF ,nilinunua simu yangu ya pixel 5A na Jana ikafa machine kwaiyoo nataka kuwauzia kioo ch Google pixel 5A kwa sh 230,000
20250408_200132.jpg
20250408_200125.jpg
 
Duh kwa jf utachelewaa cha kufanya nenda kwa mafundi kariakoo ofisi mpk ofisi..km kweli thaman yake inafika laki mbili basi amua tu mji mzima zunguka kwa mafundi
 
Kwakweli pixel 5A ni kichomi mi mwenyewe ilizima ghafla. Niligundua mafundj wengi wanaziogopa sana simu za pixel na waliniambia kuwa ukiona simu ya pixel imezima jua sababu either kioo au socket.
Nilipata fundi mmoja mbishi alikomaa nayo ikawaka,baada ya kuwaka ikapoteza network,alipambana kwenye hardware ikapona nimepiga nayo mzigo wiki Moja mbele ikazima tena.
Nimeachana nayo.
 
Pixel chini ya 8 kusema na ukweli zina matatizo mengi sana , Kama mtu kuwa nayo namshauri ajipange tu anunue kuanzia pixel 8
 
Sahihi kabisa, Pixel hazipo stable
Ndio mkuu, jamaa yangu hapa alinunua 450k katumia wiki mbili tu sijui nini kilitokea huko ndani lilianza kwa ku display black screen haikuchukua round likazima mazima.
 
Ile ligi yenu ya kuzifananisha na Samsung nadhani itakua imekwisha maana Samsung wanatusitiri sana ni ngumu kuja kuleta matangazo ya nimenunua Jana harafu wiki hii sijui imepata moto ni ngumu sana..
 
Ile ligi yenu ya kuzifananisha na Samsung nadhani itakua imekwisha maana Samsung wanatusitiri sana ni ngumu kuja kuleta matangazo ya nimenunua Jana harafu wiki hii sijui imepata moto ni ngumu sana..
Pixel nyingi ni refurb mkuu na wala Hapa bongo hakuna authorized dealer wa izo simu, Pia ni simu fulani ambazo kama zipo kwenye testing phase ivi kwasababu still hazipo stable kabisa
 
Back
Top Bottom