Mafundi simu nawahitaji sana!!!. simu yangu ya pixel 5A na Jana ikafa machine

Mafundi simu nawahitaji sana!!!. simu yangu ya pixel 5A na Jana ikafa machine

Kwakweli pixel 5A ni kichomi mi mwenyewe ilizima ghafla. Niligundua mafundj wengi wanaziogopa sana simu za pixel na waliniambia kuwa ukiona simu ya pixel imezima jua sababu either kioo au socket.
Nilipata fundi mmoja mbishi alikomaa nayo ikawaka,baada ya kuwaka ikapoteza network,alipambana kwenye hardware ikapona nimepiga nayo mzigo wiki Moja mbele ikazima tena.
Nimeachana nayo.
Nipe mawasiliano ya huyo fundi mbishi na mm nikajaribu kikubwa iwake tu nitoe vitu Vyangu 5A sio simu
 
Back
Top Bottom