Agosti 13, 2025 Wanahabari Mkoani Kigoma wamepatiwa mafunzo ya namna ya kujilinda wakati wa utekelezaji wa majukumu yao kipindi cha kampeni hadi uchaguzi Mkuu mwaka huu 2025.
Mafunzo hayo yaliyohudhuriwa na wanahabari kutoka vyombo mbalimbali vya habari mkoani Kigoma yametolewa katika Ofisi za...