GE2025 Kigoma: Wanahabari wafundwa kuhusu usalama kipindi cha uchaguzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Agosti 13, 2025 Wanahabari Mkoani Kigoma wamepatiwa mafunzo ya namna ya kujilinda wakati wa utekelezaji wa majukumu yao kipindi cha kampeni hadi uchaguzi Mkuu mwaka huu 2025.

Mafunzo hayo yaliyohudhuriwa na wanahabari kutoka vyombo mbalimbali vya habari mkoani Kigoma yametolewa katika Ofisi za Klabu ya waandishi wa habari mkoani humo yakilenga kuwajengea uwezo wa kujilinda na kujiweka salama wakati wa utekelezaji wa majukumu yao katika kipindi chote cha Uchaguzi mkuu 2025.

Kigoma.png
 
View attachment 3440883
uchaguzi upi, mwaka huu hakuna uchaguzi. Ndipo mtamjua YHWH na uweza wake.
 
Back
Top Bottom