Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed, amewaweka mawaziri na maafisa wengine wa serikali katika mafunzo ya kijeshi, akisema nidhamu na misingi ya kijeshi vinaweza kusaidia kujenga uongozi imara na kuharakisha maendeleo ya taifa.
Picha zilizochapishwa na Abiy Ahmed kwenye mitandao ya kijamii...