mafunzo

Mafunzo Football Club is a Tanzanian / Zanzibarian football club.
The team competes in the Zanzibar Premier League.
They competed in the CAF Champions League for the first time in 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. Erythrocyte

    Chadema yaanzisha Program ya Mafunzo kwa Wanachama wake

    Tayari Mafunzo hayo yameanza kwenye Kanda imara ya Nyasa na kwamba yatakuwa yanafanyika kwenye maeneo mbali mbali Mafunzo haya hayana uhusiano wowote na Operesheni haki , haya ni mafunzo ya kuwaongezea maarifa na uwezo viongozi na wanachama wa Chadema nchi nzima , hasa ikizingatiwa kwamba kwa...
  2. F

    JKT kwa Mujibu wa Sheria: Serikali gharamieni haya mafunzo au yaondolewe. Sipingi kuwepo mafunzo, napinga gharama

    Nije moja kwa moja kwenye mada, JKT walitangaza vijana waliomaliza kidato cha SITA kujiunga na mafunzo ya JKT kwa MJIBU WA SHERIA. JKT walitoa maelekezo vitu wanavyopata kuwa navyo watoto, ajabu unamnunulia Mtoto hivo vifaa walivyotaja wao, baada ya Mtoto kufika kambini anakutana na vitu...
  3. M

    Mafunzo kwa Mafundi Magari waliokuwa ndani ya Kituo cha Mabasi cha Magufuli yatolewa

    JESHI la Polisi kitengo cha Usalama barabarani, limetoa mafunzo kwa mafundi magari waliyokuwa ndani ya Kituo cha Mabasi cha Magufuli, Mbezi Luis, Dar es Salaam kwa lengo la kuwafundisha jinsi ya kutambua vifaa ambavyo vipo kwenye magari hayo. Mafunzo hayo yametolewa leo Mei 29, 2021 na Mkuu wa...
  4. K

    Msaada: Namna ya kulipia maombi ya mafunzo ya Ualimu

    Hivi karibuni Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia ilitangaza maombi ya mafunzo ya ualimu ambayo deadline ya kuomba ni kesho kutwa.Naona ukiingia utakuta kuna options ama njia mbalimbali za kulipia. Cha ajabu haijaelezwa muombaji anatakiwa kulipia shilingi ngapi!Mwenye ufahamu msaada tafadhali
  5. mrMaco

    Huu Udhamini wa Serikali katika mafunzo ya ufundi stadi VETA Ulishia wapi?

    Kama kichwa kinavojieleza hapo, Kwa taarifa zilizotolewa na serikali katika kudhamini hayo mafunzo ilikuwa mafunzo yaanze kesho tar 17 May 2021. Lakini mpaka sasa walioomba hawajapewa feedback zozote na tarehe 17 ni siku ya kesho. Sasa sijui wanalichukuliaje hili swala?
  6. Elisha Sarikiel

    Nafasi za mafunzo ya Ualimu ngazi ya Astashahada ya ualimu elimu ya Awali, Msingi na Stashahada ya Ualimu Elimu Sekondari mwaka wa masomo 2021/2022

    KUMBUKA KUZINGATIA UTARATIBU WA KUTUMA MAOMBI KAMA IFUATAVYO Wahitimu wa kidato cha nne waliohitimu kuanzia mwaka 2015 hadi 2019 wanaruhusiwa kutuma maombi. Waombaji wa Mafunzo ya Ualimu katika vyuo vya Ualimu vya Serikali wanatakiwa kujisajili na kufanya maombi kielektroniki kupitia tovuti...
  7. Chaliifrancisco

    Ufadhili Wa Mafunzo ya Ufundi Stadi

    Ofisi ya Waziri Mkuu imetangaza kutoa ufadhili wa nafasi zaidi ya 12,000 katika fani mbalimbali za ufundi stadi. Fursa hii tuichangamkie vijana. Fungua attachment kwa maelezo zaidi. Pia unaweza kutembelea tovuti hii. www.kazi.go.tz
  8. Miss Zomboko

    Serikali imesema kuanzia Julai Mosi itaanza kutoa mafunzo kazini, ikiwamo mbinu za ufundishaji wa somo la Hisabati

    Serikali imesema kuanzia Julai Mosi itaanza kutoa mafunzo kazini, ikiwamo mbinu za ufundishaji wa somo la hesabu. Hatua hiyo ni baada ya Serikali kubaini kuwa kuna walimu hawamudu kufundisha baadhi ya mada katika somo hilo. Pia ili kuboresha ufaulu wa somo hilo watachapa na kusambaza vitabu...
  9. J

    Je, Tundu Lissu amepitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa?

    Najaribu tu kupitia sifa za uzalendo wa wanasiasa mbalimbali kwa nchi yetu. Mh Tundu Lissu amewahi kutumikia Jeshi la Kujenga Taifa kwa mujibu wa Sheria au kwa kujitolea? Nia ni njema kabisa. Ramadhan Kareem!
  10. A

    Ili kuboresha elimu, Serikali iachane na mpango wa mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti 'grade A'

    Katika kuboresha sekta ya elimu nchini, ni wakati sahihi wa serikali kupitia wizara ya elimu na tamisemi kuachana na mpango wa kutoa mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti almaarufu 'grade A' Sababu ni hizi, 1. Mafunzo ya ualimu wa 'grade A' hayawaandai walimu hao kuendana na soko la dunia kwenye...
  11. Yoda

    Mafunzo makuu matano kutoka utawala wa Hayati Magufuli

    1. Katiba imara na taasisi imara peke yake ndio zinaweza kuwa ukuta na vizingiti kati ya demokrasia na uimla. Sio nia njema, mazoea, mila wala tamaduni za kisiasa zinazoweza kuhakikisha uhuru stahiki wa wananchi. 2. Sio wafanyabiashara tu ambao ni wasaka fursa bali asilimia 90 ya binadamu wote...
Back
Top Bottom