1. Katiba imara na taasisi imara peke yake ndio zinaweza kuwa ukuta na vizingiti kati ya demokrasia na uimla. Sio nia njema, mazoea, mila wala tamaduni za kisiasa zinazoweza kuhakikisha uhuru stahiki wa wananchi.
2. Sio wafanyabiashara tu ambao ni wasaka fursa bali asilimia 90 ya binadamu wote...