Magari kadhaa pamoja na basi la usafiri wa umma la RED yameripotiwa kusombwa na mafuriko ya ghafla yaliyoambatana na tope na vifusi katika eneo la San Carlos de Apoquindo, lililopo Las Condes, Mkoa wa Metropolitan, nchini Chile.
Picha na video zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zinaonesha...