Chile: Mafuriko makubwa yasomba magari na basi la abiria katika eneo la Las Condes

Chile: Mafuriko makubwa yasomba magari na basi la abiria katika eneo la Las Condes

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Magari kadhaa pamoja na basi la usafiri wa umma la RED yameripotiwa kusombwa na mafuriko ya ghafla yaliyoambatana na tope na vifusi katika eneo la San Carlos de Apoquindo, lililopo Las Condes, Mkoa wa Metropolitan, nchini Chile.

Picha na video zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zinaonesha hali ya mafuriko hayo, huku maji yenye nguvu yakisomba magari na kusababisha taharuki katika eneo hilo.

Hadi sasa, hakuna taarifa zilizothibitishwa kuhusu idadi ya watu waliojeruhiwa au madhara mengine yaliyotokana na tukio hilo.

Soma Pia:


 
Tunapokea picha na video zinazoonesha hali inavyoendelea kwa sasa katika eneo la Las Condes, nchini Chile.

Magari kadhaa pamoja na basi la usafiri wa umma la RED yameripotiwa kusombwa na mafuriko ya ghafla yaliyoambatana na tope na vifusi katika eneo la San Carlos de Apoquindo.
Dhambi zimezidi duniani
 
Back
Top Bottom