Mvua kubwa ilionyesha mji mkuu wa Kenya, Nairobi, usiku wa Ijumaa, ilisababisha barabara kuu kugeuka mito na maelfu ya nyumba pamoja na biashara kujaa maji, lakini pia ilichukua maisha ya watu huku baadhi wakijeruhiwa.
Siku ya Jumamosi Polisi walisema walau watu 23 walifariki Dunia jijini...
Wakuu,
Majirani kila siku mnatunanga na kwenye suala la miundombinu, kiko wapi? Ni wapiga dili kama kama serikali ya 'mama' na watu wake! Poor poor (kwa sauti ya chawa).
======
Mvua kubwa inayoendelea nchini Kenya imeonyesha udhaifu mkubwa wa miundombinu nchini humo.
Watu 23 wameripotiwa...
Ingekuwa ni Tanzania haki ya Mungu huyu Dereva wa hili Lori ningegawana nae Majengo ya Serikali kwani ni mpumbavu sijapata kuona.
Yaani anaona kabisa mto umefurika na watu wa pande zote mbili wanamuonya asilipitishe lori lake ambalo pia lilikuwa limebeba nadhani mchanga na matofali ila kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.