Mvua kubwa ilionyesha mji mkuu wa Kenya, Nairobi, usiku wa Ijumaa, ilisababisha barabara kuu kugeuka mito na maelfu ya nyumba pamoja na biashara kujaa maji, lakini pia ilichukua maisha ya watu huku baadhi wakijeruhiwa.
Siku ya Jumamosi Polisi walisema walau watu 23 walifariki Dunia jijini...