MKUU wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Hassan Bomboko, amekutana kwa zaidi ya saa tano na wakazi wa Kijiji cha Mtakuja kilichopo Kata ya KIA, kujadili na kutafuta ufumbuzi wa kudumu wa tatizo la mafuriko ya mvua, ambayo yamekuwa yakiathiri makazi ya watu kila mwaka, na ekari 306 za mazao ya...