Mtanzania, pg 11, 9/12/2019
Huu sasa tuite ni mfumo jike au nini.
Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro "anakagua" mafuriko mkoani kwake hana Safety Clothing hata moja.
Utafikiri bi harusi anaenda kitchen party.
Kuna tatizo gani wanawake wajameni, mbona siwaelewi?
Umoja wa Kimataifa (UN) waeleza kuwa Karibu watu 280 wamefariki na wengine zaidi ya milioni 2.8 walioathiriwa na mvua nzito na mafuriko katika ukanda wa Afrika mashariki.
Ofisi ya UN ya Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu (OCHA) imesema nyumba, miundombinu na makazi ya watu yameharibiwa jambo...
Kiasi cha watu milioni 3 kote Afrika Mashariki wameathiriwa na mvua, mafuriko na maporomoko ya matope katika wiki za karibuni. Zaidi ya watu 200 wamepoteza maisha kutokana na mafuriko na maporomoko ya matope huko Afrika Mashariki tangu kuanza kwa msimu wa mvua, ambao bado haujakwisha.
Watalaamu...
Waokoaji nchini Kenya wameuopoa mwili wa kijana mmoja aliyekufa maji alipokuwa akijaribu kumuokoa mwananume ambaye alikuwa akiomba usaidizi alipokuwa akivuka mto uliokuwa umefurika .
Anna Nduku mwenye umri wa miaka 19 alianguka katika mto Kandisi karibu na eneo la Ongata Rongai , viungani vya...
Ukosefu wa maji umeikumba Manispaa ya Mbale kwa zaidi ya siku tatu kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa na kupelekea miundo mbinu ya Idara ya maji ya Uganda (NWSC) kuharibika.
Akifafanua zaidi kuhusu tukio hilo, Mkuu wa kitenga cha Idara ya Maji Uganda Bw. Solomon Efearael...
Shirika la kimataifa la misaada la Save the Children limesema zaidi ya watu 420,000 wamelazimika kuondoka kwenye makaazi yao kutokana na mvua kubwa zilizosababisha mafuriko Sudan Kusini.
Shirika hilo limesema, kiasi asilimia 60 ya walioondoka, tayari walikuwa wanakabiliwa na utapiamlo mkali...
HIKI ndicho tulichokuwa tunakitaka. Ndivyo wanavyosema wakazi wa Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa, wanaosema hivyo baada ya kilio chao cha muda mrefu cha kukosa majisafi na salama kupata ufumbuzi.
Wanasumbawanga na viunga vyake takribani 70,932 wanafungua maji ya bomba baada ya kazi hiyo...
Karibu watu 10 wameuawa katika mafuriko na maporomoko ya ardhi yaliyosababishwa na mvua kubwa nchini Japan.
Kulingana na shirika la Kyodo, mvua kubwa imekuwa ikinyesha tangu jana, mji mkuu wa Tokyo katika wilaya ya mashariki ya Ciba.
Mkoa wa Fukushima kaskazini umepoteza mtu mmoja.
Mito 15...
Kocha wa Yanga sc amesema moja kati ya vitu ambavyo wachezaji wamekosa ni malengo..
.
“ Inatakiwa toka mwanzo wa msimu mchezaji aweke malengo kwamba mimi kama kiungo lazima nitoe pasi za mwisho zaidi ya kumi na kufunga magoli zaidi ya kumi ktk msimu.
Lakini ukiangalia wengi wanavyocheza ni kama...
Watu Kumi wamekufa na wengine kadhaa hawajulikani walipo, baada ya mafuriko makubwa kuikumba nchi ya Misri hasa katika mji wa Alexandria.
Mamia ya watu wamelazimika kubaki katika nyumba zao na kushindwa kwenda kazini, baada ya mitaa mingi ya mji huo kujaa maji na kushindwa kupitika.
Mafuriko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.