mafuriko

  1. Miss Zomboko

    Mafuriko yaendelea kuteketeza wananchi, vifo vyafikia 194

    KWA muda wa saa 24 zilizopita watu 30 wamepoteza maisha yao kutokana na mafuriko. Waziri wa Ugatuzi Eugene Wamalwa amesema Jumatano idadi jumla ya waliofariki kutokana na mvua kubwa inayoendelea kushuhudiwa maeneo mbalimbali nchini imefikia 194. Bw Wamalwa alitaja maeneo ya Garissa, Tana...
  2. Erythrocyte

    Kutoa ni moyo: Ole Sosopi amwaga misaada kwa Wahanga wa Mafuriko Ismani

    Wakuu poleni na janga la Corona , pamoja na taarifa nyingi sana kutoka kwenye vyombo vya habari ni kuhusu Corona , lakini nchini Tanzania kuna tatizo kubwa sana la mafuriko kwenye maeneo mengi , na hivyo kuleta shida kubwa sana kwa wananchi wa maeneo husika. Kumekuwa na uharibifu wa makazi ya...
  3. GENTAMYCINE

    Kuna Timu Moja nchini Tanzania Mashabiki wake pamoja na Wanachama wao wakiitwa 'Mafuriko Sports Club' wasiwe wanakataa tafadhali

    Baada ya Haji Manara kuweka Wazi Bei ya ' Kumng'oa ' Simba Sports Club Mchezaji ' Mahiri ' na ' Mtaalam ' kabisa akiwa ndiyo ' Play Maker ' Clatous Chota Chama kuwa ni kati ya Dola za Kimarekani 350,000 hadi 400,000 ambazo ni sawa na Shilingi Milioni 850 hadi Milioni 900 wale ' Wapuuzi Mafuriko...
  4. J

    Wabunge wa CCM wafunga barabara na kuzuia mkondo wa maji hali inayowasababishia wananchi kupata mafuriko

    Wabunge wastaafu na wale watarajiwa wa CCM wamejianzishia mtaa wao huko Ununio na kuuita Bunge Btreet, miongoni mwao ni Mzee Kimiti, Mh. Foya wa Hai, Mh. Adam wa Muleba na Mh. Kippi anayetarajia kugombea Kawe. Cha kusikitisha wabunge hawa wamefunga barabara na kuzuia mkondo wa maji hali...
  5. Stuxnet

    Hali ya Mafuriko Rufiji ni tete, Vyombo vya Habari Maalum vinaogopa kutoa taarifa

    Msikilize Mbunge Mohamed Mchengerwa wa Rufiji kwenye hiyo video. Haya yanawakuta Watanzania wenzetu huko Rufiji. Huyu ni mbunge wa CCM anasema hivyo. Ina maana yamemfika shingoni na ni HATARI KUBWA. Wana JF tupieni macho huko tuweze kuona jinsi ya kusaidia Watanzania wenzetu. na watu...
  6. B

    Mafuriko Rufiji | Wananchi wamlilia Rais Magufuli

    March 18, 2020 LIVE: MAFURIKO RUFIJI | WANANCHI WANAVYOMLILIA JPM Wananchi wa Rufiji mkoani Pwani waamua kujitokeza baada ya kuona hakuna hatua za dhati za viongozi wa maeneo yao kuifahamisha serikali kuu kuchukua majukumu kuwasaidia. Serikali ya CCM Mpya vilio hivi vya wana Rufiji...
  7. beth

    Rufiji, Pwani: Shule nne zafungwa kutokana na mafuriko, Wanafunzi zaidi ya 3,000 kukosa masomo

    Shule nne za msingi zilizopo katika kata ya Muhoro, wilayani Rufi ji, mkoa wa Pwani zimefugwa baada ya kuzingirwa na maji ya mafuriko yaliyotokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini. Shule zilizofungwa ni hizo Nyambapu, Muhoro, Kingongo na Kipoka na jumla ya...
  8. B

    Morogoro town centre yakumbwa na mafuriko ya tope

    March 7, 2020 Morogoro, Tanzania Mvua kubwa iliyonyesha milima ya Uluguru inayoizunguka mji kasoro bahari wa Morogoro umejikuta wakazi na wafanyabishara wa mjini kati yaani down town city centre ukiwa na mafuriko ya tope jingi na maji. Wakazi waomba miundo mbinu ya mifereji na mto unaokatiza...
  9. The Mongolian Savage

    Huenda Liverpool ikakosa kutwaa ubingwa wa EPL msimu huu kwa Mafuriko yanayoendelea huko Uingereza

    Mzuqa wanajamvi, Mvua kubwa na kali inayoendelea kunyesha nchini Uingereza inaiweka Timu ya Liverpool pabaya na njia panda kutokutwaa ubingwa wa EPL ambayo wameisubiri miaka 30. Mvua iyo kubwa inayoambatana na radi inanyesha kila siku nchini uingereza na kusababisha maafa na uharibifu wa...
  10. G Sam

    Madini aliyotema Rais Magufuli kwa waathirika wa mafuriko huko Lindi

    Haya ndiyo madini ya ukweli aliyotema Rais Magufuli kwa waathirika wa mafuriko huko Lindi kama alivyonukuliwa ----- Watanzania tumejenga kwenye mikondo ya maji haizibi, mvua ikija kuwachukua mnapiga kelele ni mafuriko, mnajifurika wenyewe, mlima upo hutaki kujenga unakwenda kujenga kwenye...
  11. Analogia Malenga

    Mafuriko yawaacha bila makazi wananchi 4,500 Mkoani Lindi

    Picha haihusiani na tukio Zaidi ya wananchi 4500 wa vijiji sita wilayani Kilwa Mkoa wa Lindi hawana mahala pa kuishi baada ya nyumba zao kusombwa na maji kutokana na mvua kubwa iliyonyesha mkoani humo. Akizungumza na Mwananchi leo Jumatatu Januari 27, 2020 mkuu wa Wilaya hiyo, Christopher...
  12. Deus J. Kahangwa

    Mafuriko Msimbazi Dar: Mwarobaini watua Ofisi ya Rais

    Usuli Kwa mujibu wa Kanzidata ya Kimataifa kuhusu Majanga Asilia yaliyotokea tangu mwaka 1990, Tanzania inakabiliwa na hatari ya majanga asilia yafuatayo, frikwensi zake zikiwa zimeonyeshwa katika mabano: mafuriko (62.2%), ukame (13.3%), tetemeko la ardhi (11.1%), kimbunga (8.9%), moto wa...
  13. USSR

    Mvua kubwa na radi jijini Dar es Salaam na Pwani yote. Mtaani kwako kwema?

    Unaweza kusema ndio mvua kubwa tangu tuanze mwaka 2020 na imeanza kwa kasi kubwa tangu saa kumi usiku na bado inapiga, nimepita mitaa ya Mlandizi, Kibaha, Mbezi Mwisho, Ubungo hadi nafika katikati ya Jiji mvua inatwanga tu. Njia zote zimejaa maji na hasa pale Jangwani na maeneo mengi, hii...
  14. Mystery

    Hivi ni kipi kilipaswa kujengwa kwanza, ni kuinua daraja la Jangwani au kujenga Daraja jipya la Salenda hadi Coco beach?

    Baada ya kuona haya mateso makubwa wanayopata wanabchi kwa kufunga barabara inayounganisha jijini Dar na Magomeni ikijirudia Mara kwa Mara kutokana na mvua kunyesha, nimekuwa nikijiuliza hivi hawa watawala wetu walitumia busara kweli kuamua kujenga daraja la kuunganisha Coco beach na Salenda...
  15. Analogia Malenga

    Afrika ina mafuriko ya dawa feki

    Shirika la Afya Duniani (WHO) inakadiria kuwa watu 100000 wa Afrika hufa kwa dawa bandia. Ilikadiriwa kuwa mwaka 2015 watoto 122,000 chini ya miaka mitano walifariki kwa kutumia dawa zisizo na ubora za kuzuia malaria kusini mwa jangwa la Sahara Utawala dhaifu, huduma mbovu za afya na wimbi la...
  16. B

    Tishio la Upungufu wa Mavuno, Usalama wa Chakula baada ya Mafuriko na Mvua kubwa

    December 30, 2019 Tanzania Hali ya upungufu wa mavuno tishio la Usalama wa chakula Tanzania 2020 - 2021 Changamoto kubwa baada ya mafuriko na mvua nzito zisizo koma kukumba maeneo mengi ya Tanzania ni suala la usalama wa chakula kupitia akiba ya mazao kama mahindi, mpunga, mihogo, ulezi na...
  17. K

    Poleni wananchi kwa kujiokoa wenyewe: Mafuriko na Moto

    Nasikitika kuona Tanzania kutokuwa na idara imara ya kuokoa maisha ya watu. Ndugu mmoja kaniambia kaokolewa na majirani kwenye mafuriko Dar cha ajabu hakuna kikosi cha zimamoto wala watu kutoka idara yoyote ya serikali imeenda kumsaidia kumuangalia wala nini. Sasa tujiulize hizi idara...
  18. Libya

    UPDATES: Madhara ya mvua iliyonyesha jijini Dar - Desemba 17, 2019

    Wasalaam Jamani leo mvua imeanza asubuhi sana na bado inanyesha kama yote wakati huu. Tunaokuja na mwendokasi mjini panapitika Jangwani au ndio imetoka tukutane kesho? ====== TAARIFA YA MAMLAKA YA HALI YA HEWA (TMA) Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inatoa taarifa ya mrejeo kuhusu...
  19. Kinoamiguu

    South Africa: Rais amekatisha ziara kwa sababu ya mafuriko na kukatika kwa umeme

    chanzo DW mchana wa leo Pametokea mafuriko huko SA. Hali hiyo imepelekea nchi hiyo kukosa umeme kwa siku tatu mfululizo. Kwa kuona na kwa kujali wananchi wake, raisi wa huko amekatisha ziara yake nje ya nchi kuja kuungana na wananchi wake kukabiliana na hali hiyo. Ametoa siku tatu kuikabili...
  20. Influenza

    Uganda: Watu 36 wafariki, wengi hawajulikani walipo huku maelfu wakiwa bila makazi kutokana na mafuriko

    Shirika la Uokoaji la Msalaba Mwekundu Nchini humo linaloendelea na uokoaji katika Wilaya ya Bundibugyo limesema kuwa watu wengi bado hawajulikani walipo kutokana na mvua kubwa zinazonyesha Mashariki mwa Uganda Waziri wa Kujikinga na Majanga na Kushughulikia Wakimbizi, Musa Echweru amesema...
Back
Top Bottom