Taasisi ya uhamasishaji uwazi na uwajibijaki katika rasilimali za Madini, Mafuta na Gesi Asilia (TEITI) imetoa mafunzo maalum ya kuelimisha wananchi wasioona kuhusu ripoti na matumizi ya takwimu zinazotolewa na taasisi hiyo ili kuweza kuhoji na kufahamu mchango wa rasilimali hizo na fursa...
Wakuu,
Kwa mara ya kwanza tangu ipate uhuru Senegal imeanza kusafisha mafuta ghafi ambayo yanazalishwa ndani ya nchi, ikifungua mlango mpya katika sekta ya nishati.
Kampuni ya African Refinery Company (SAR), ambayo imekuwa ikifanya kazi tangu 1961, ilitangaza Alhamisi kuwa imefanikiwa...
Nigeria, nchi tajiri kwa mafuta na gesi barani Afrika, imetangaza pia kuwa itaanza kuuza mafuta ghafi kwa sarafu ya ndani badala ya dola ya Marekani, ambayo bado inatumika sana katika biashara za kimataifa za bidhaa.
Tangazo hili la hivi karibuni linakuja baada ya nchi kadhaa kuanza kuuza...
Serikali imepata jumla ya shilingi Trilion 1.877 kutoka kwenye kampuni 44 zilizolinganishwa katika sekta ya madini, mafuta na gesi ikiwa na tofauti ya kati ya malipo na mapato ya shilingi milioni 402.41 kwa mwaka kwa mwaka wa fedha 2021/22.
Hayo yamebainishwa na Waziri wa wa Madini Anthony...
Uagizaji mafuta toka nje unaigharimu nchi yetu mabilioni ya fedha kila mwaka hivyo kudidimiza thamani ya fedha yetu na uchumi Kwa ujumla.
TIPER-Tanzania International Petroleum Refinery ni kampuni ilioundwa mahsusi Kwa ajili ya kusafisha mafuta ghafi. Mitambo ya thamani kubwa ilinunuliwa na...
Tume hiyo Maalumu imeundwa na Waziri Mkuu, Ousmane Sonko na imepewa jukumu la kupitia upya Mikataba yote ambayo Serikali zilizopita zilisaini na Kampuni za Kimataifa.
Timu ya Wajumbe inaundwa na Wataalamu wa Masuala ya Kodi, Sheria na Nishati ambapo jukumu lingine walilopewa ni kuhakiki...
Wadau, picha yajieleza hapo!! Hofu yangu ni moja na pengine watanzania naomba mnifafanulie. Kukiwa na punguzo la bei ya mafuta ya petroli sokoni bei isishuke bali ibaki kama hapo awali? Kwa tafsri hiyo ni kwamba sheria ikiwekwa kama bei ni 3000tsh kwa lita hata ikishuka sokoni na kustahili kuwa...
Kituo hiki cha kujazia gesi cha kampuni binafsi kilizinduliwa mwaka jana mwishoni na Naibu waziri mkuu, Dotto Biteko. Wakati wanaanza kilikuwa hakina magari mengi yanayojaza gesi na kuna kipindi huoni kabisa gari pamoja na pampu nyingi walizizonazo, pia kituo kina karakana ya kuweka mfumo wa...
Nature of offshore geotechnical engineering ni utaalamu unaohusiana na uchunguzi na uhandisi wa vifaa vya ardhi chini ya bahari. Maana yake, inazingatia sifa za ardhi, tabia za udongo, mchanga, na miamba chini ya bahari, pamoja na mazingira ya bahari kama mawimbi, mkondo, na athari za mchanga...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali inapenda kuzialika kampuni zote za utafutaji na uchimbaji wa mafuta na gesi kushiriki katika Duru ya kwanza .
Rais Dkt. Mwinyi amewakikishia wawekezaji wote wa sekta ya mafuta na gesi kuwa...
Mtaalamu wa mafuta na gesi Tanzania, bwana Elia Wilinasi ameitendea haki field yake ya mafuta na gesi baada ya kuzalisha gesi kutoka kwenye kitalu chake mwenyewe na kufanikiwa kuandika andiko zima ya kile alichokifanya...
Mmoja wa viongozi waandamizi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amezionya nchi mbili za Kiarabu kwamba zisithubutu kuingia kwenye muungano wa Bahari Nyekundu wa Marekani na imetangaza wazi kwamba, kama Yemen itashambuliwa, basi harakati hiyo itajibu kwa kupinga visima na meli za maafuta na gesi...
Nina mtoto wa kaka yangu amesoma kozi inaitwa oil and gas engineering pale DIT huu ni mwaka wa tano hana kazi.
Wakati anaanza alimwambia mzazi wake ni kozi yenye fursa kwasababu serikali imeanzisha.
Ni nani alishauri kuanzishwa kwa kozi za mafuta na gesi hapa nchini
Mheshimiwa Rais Dkt. Samia,
Napenda kuwasilisha maoni yangu kuhusu umuhimu wa kuanzisha Wizara ya Mafuta na Gesi (Ministry of Oil and Gas) katika Serikali yetu. Kama unavyojua, Tanzania ina rasilimali kubwa ya mafuta na gesi asilia, na sekta hii ina uwezo mkubwa wa kuchangia katika ukuaji wa...
Dhana ya Mkataba wa Utafutaji wa mafuta na Ugawanaji Mapato - wazo la nchi la utafutaji wa mafuta na gesi na mgawanyo wa mapato na makampuni kama sehemu ya biashara lilianzishwa kwenye miaka ya 1950. Kwanza kabisa, wazo hili lilianzishwa Indonesia mwaka 1966. Mikataba ya Utafutaji wa mafuta na...
NAFURAHI NIMEPATA MWALIKO WA KUSHIRIKI KONGAMANO NA MAONYESHO YA 10 YA PETROLI AFRIKA MASHARIKI
Jamhuri ya Uganda inatazamiwa kuwa mwenyeji wa Kongamano na Maonesho ya Petroli ya Afrika Mashariki kuanzia tarehe 9- Tarehe 11 Mei 2023 katika Hoteli ya Serena jijini Kampala.
Lengo kuu la kongamano...
Kwanini hatuna Wizara ya mafuta na gesi kama mataifa mengine yenye gesi na mafuta.
Maoni yangu kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano na Wizara ya Nishati
Mimi nashauri tungeanzisha wizara ya mafuta na gesi (Ministry of Oil and Gas). Wizara ya nishati igawanywe mara mbili kuwa wizara ya mafuta na...
Fani za mafuta na gesi zilianza kufundishwa Tanzania mwaka 2013.
Mara serikali ikaanzisha shahada ya kwanza ya kemia ya petroli (BSc. Petroleum Chemistry) (wanafunzi 25), Shahada ya kwanza ya uhandisi wa petroli (BSc. Petroleum Engineering) (Wanafunzi 25) na Shahada ya kwanza ya jiolojia ya...
Maoni yangu kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano na Wizara ya Nishati
Mimi nashauri tungeanzisha wizara ya mafuta na gesi (Ministry of Oil and Gas). Wizara ya nishati igawanywe mara mbili kuwa wizara ya mafuta na gesi (Ministry of Oil and Gas) na wizara ya nishati (Ministry of Energy).
Wizara ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.