mafuta na gesi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Ifahamu Sekta ya Mafuta na Gesi Tanzania- Sehemu ya Kwanza (Utangulizi)

    Ili niweze kugusia kila eneo, basi makala hii itakuwa na sehemu angalau tatu ambazo ni Utangulizi, Sera, Sheria na Kanuni zinazoongoza sekta hii, na sehemu ya mwisho fursa zilizopo. Kwa kuanza, naweza kuiweka Gesi ya Tanzania kwenye makundi makuu mawili. Kundi la kwanza ni ile ambayo ugunduzi...
  2. Meneja Wa Makampuni

    Sekretarieti ya ajira ondoeni kigezo cha cheti cha ERB kwa kozi za mafuta na gesi (petroleum) wekeni kigezo cha COMMON QUALIFICATION SYSTEM

    Kazi yoyote inayohusu mafuta na gesi (petroleum) watangazieni wote waliosomea mafuta na gesi na mwaite wote wafanye usaili atakayepita ndio huyohuyo. Kazi hizi ni: Production, Reservoir, Drilling, Petroleum, Exploration, Processing, Oil and Gas Operation, Quality Assurance and Control. Hizo...
  3. B

    Kwa mara ya kwanza Serikali sasa kupata 75% ya mapato ghafi ya mafuta na gesi

    25 November 2022 January Makamba - Kitalu cha gesi Ruvuma Mtwara, serikali kuvuna 75% ya mapato ghafi Video courtesy of Millard ayo Hayo yamebainisha na waziri wa nishati Mh. January Makamba kufuatia mkataba huo wa kihistoria serikali. Waziri January Makamba anabainisha kuwa huko nyuma...
  4. Meneja Wa Makampuni

    Tatizo la vijana waliosomea mafuta na gesi kuzagaa mtaani wakati kila siku tunasikia miradi ya mafuta na gesi inazungumziwa na Serikali

    Nimeona hili leo niliseme pengine viongozi wetu hawalifahamu swala hili: Kweli kumekua na tatizo la vijana wetu waliosomea fani za mafuta na gesi kuzagaa mtaani tangu fani hizi zilipo anzishwa mwaka 2013. Asilimia 80 ya vijana waliosomea fani hizo hawaja ajiriwa mpaka sasa. Na walianza kuhitimu...
  5. Meneja Wa Makampuni

    Tuunganishe nguvu tuwavutie wawekezaji kwenye haya maeneo ya mafuta na gesi tusiichie serikali pekee inatingwa

    Taifa letu lina maeneo mengi wazi ya kuwekeza katika sekta ya mafuta na gesi. Maeneo muhimu sana nayoyaona mimi ni yafuatayo: 1. Vituo vya kujaza mafuta mijini na vijijini (Fuel and service stations in cities and rural areas). # 2. Vituo vya kujaza gesi iliyoshindiliwa (CNG) mijini (CNG...
  6. Meneja Wa Makampuni

    Maeneo muhimu ambayo serikali zetu zinapaswa kuzingatia wakati wa mazungumzo yao na makampuni ya mafuta ya mafuta na gesi

    Uvumbuzi wa mafuta na gesi huleta msisimko mkubwa sana katika taifa. Mara nyingi mataifa haya yenye utajiri wa rasilimali za mafuta na gesi hutafuta ushiriki wa makampuni ya kimataifa yenye rasilimali za fedha na utaalamu ili kusaidia kuzalisha na kuyauza mafuta na gesi katika mataifa hayo ili...
  7. RWANDES

    Kwanini Bunge la Ulaya halitaki Afrika Mashariki kutekeleza mradi wa mafuta na gesi?

    Tuna mradi mkubwa kutoka Uganda hadi Tanga jambo la kushangaza bunge la Ulaya halitaki kabisa mradi huo utekelezwe kwa minajili ya uharibifu wa mazingira cha kujiuliza yale mabomba ya gesi ya Urusi kwenda Urusi yenyewe mbona hayakuzuiliwa? Marekani inaongoza kwa kuwa na mabwawa makubwa ya...
  8. figganigga

    Tanzania na Uganda zapigwa marufuku na Ulaya kuendeleza Miradi ya Mafuta na Gesi

    Salaam Wakuu, Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia Azimio linalozitaka Tanzania na Uganda kusitisha mara moja uendelezaji wa Miradi ya mafuta na Gesi katika Ukanda wa Afrika Mashariki. Wanadai miradi hiyo inaharibu mazingira. Wakati Bunge la Tanzania likiwa kimya, Bunge la Uganda limelaani...
  9. Championship

    Kwanini ardhi hai collapse baada ya miaka mingi ya kuchimba mafuta?

    Mafuta yanapotoka huko chini yanaacha nafasi. Ardhi iliyopo juu yake haiwezi kuzama chini? Kwanini miaka mingi hili halijawahi kutokea?
  10. Roving Journalist

    Hints za Rais Samia kuhusu Mafuta na Gesi Tanzania

    Contents za Rais 1. Kwa muda wote ambao nimekuwa Serikalini, tangu nikiwa Waziri, nimekuwa nasikia habari ya mradi huu wa LNG huko Lindi. Kuna wakati nikiwa Makamu wa Rais nilijaribu kuona kama naweza kusaidia kulisukuma mbele lakini lilikuwa zito kidogo na lina mambo mengi. Nilipopata nafasi...
  11. Roving Journalist

    Hints za January Makamba kuhusu mafuta na Gesi Tanzania

    Contents za Mh. Waziri Makamba 1. Utafutaji wa Mafuta na Gesi Asilia nchini ulianza mwanzoni mwa miaka ya 1950. Mafanikio makubwa yalipatikana yakiwemo ugunduzi wa gesi asilia katika kisiwa cha Songo Songo mwaka 1974 na Mnazi Bay mwaka 1982. Aidha, Katika miaka ya 2010 na 2012 utafiti...
  12. figganigga

    Je, kampuni Kemexon ya Ubelgiji ndiyo inayoiba mafuta na Gesi ya Mtwara?

    Salaam wakuu, Hivi karibuni tumeshuhudia Meli zikianza kubeba Makaa ya Mawe kutoka Mtwara. Watu wakadai Makaa ya Mawe Tanzania inayauza kwa kila tani moja ni Elfu sitini za kitanzania huku Soko la dunia kila tani ni Dola 300 zaidi ya laki saba za Kitanzania. Hivyo ikaonekana huu mkataba ni wa...
  13. Meneja Wa Makampuni

    Watalaam wa mafuta na gesi Tanzania waishauri serikali juu ya ongezeko la bei za mbolea, mafuta ya petroli na dizeli nchini

    Watalaam wa mafuta na gesi Tanzania: Waishauri serikali juu ya ongezeko la bei za mbolea, mafuta ya petroli na dizeli nchini. Kuhusu kupanda kwa bei za mafuta ya petroli na dizeli, mtaalam wa mafuta na gesi Bwana Elia Wilinasi amesema mafuta ndio nishati inayoendesha injini ya uchumi wa dunia...
Back
Top Bottom